Tatizo la Airtel Money

Tatizo la Airtel Money

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Habari wakuu!

Kwa wale wanaotumia Airtel, hili tatizo la Airtel Money na kwenu lipo???

Sio kwenye app tu...hata kwa menu ya kawaida kuna error 😬😬
Screenshot_20230420_163253_My Airtel.jpg
 
Leo zaidi ya saa nzima sipati huduma. Nikiwapigia wanasema punde watarejea hewani. Nani atanilipa hasara niliyopata Kwa kukosa kutuma muamala? Jirekebisheni Airtel.
 
Mi toka Jana Airtel money inanigomea kuhamisha hela kwenda mpesa ikabidi nilale bila mtandao
 
Hadi kwangu nimefanya muamala tangu saa 10 jioni mpaka sasa hakuna mrejesho. Nimeenda kwa wakala nae analalamika mtandao mbovu
 
Miamala mingi inarudi sijui kuna shida gani
 
Kwa Tanzania, kampuni bora zaidi ya mawasiliano, internet, e-money na kadhalika ni Vodacom tu. Haya makampuni mengine ni waganga njaa tu kama sie wa Rubambangwe Kijijini. Tunataka kufanya maandalizi ya Eid eti Airtel Money haipatikani! Upumbavu mtupu!
 
Back
Top Bottom