Tatizo la Ajali za Barabarani Litatumaliza Watanzania. Je, Kweli Serikali Haiwezi Kufanya Kitu?

Umefanya mpaka nimecheka 😃
 
Umeandika maelezo vizuri kwa kina lkn sisi tunasema Acha Drama
 
kwanza kabisa watumiaji wa barabara walio wengi hawajari usalama wa wengine barabaran,...ajali nyngi sana zinasababishwa na mwendokasi uliokithiri,...anza bodaboda, private cars mida ya jion na usiku ndo zao maspidi juuu, wazee wa athlete, Subaru na forester,..pia madereva wa mabus wapo bize na kubet nan wa kwanza kufika destination point,......ukiangali scenario hiyo unaona kabisa hii ni makusudi kabisa na ni ngumu kumbadili mtu anaefanya kitu makusudi,....ukija kwa serikali na vyombo vya usalama nadhani vimelala fofofo kama sio kulewa KABISA,....😞😞
 
INAWEZEKANA, LETA MAGARI AMBAYO SPEED HAIZIDI 80 , YATENGENEZWE MAGARI TOKA VIWANDANI WITH A SPEED LIMIT OF 80 KM/HR. OR EVEN LESS..........SPECIFICALLY FOR STUPID TANZANIA DRIVERS
 
Changamoto kubwa hiyo
 
INAWEZEKANA, LETA MAGARI AMBAYO SPEED HAIZIDI 80 , YATENGENEZWE MAGARI TOKA VIWANDANI WITH A SPEED LIMIT OF 80 KM/HR. OR EVEN LESS..........SPECIFICALLY FOR STUPID TANZANIANS DRIVERS
Na haya magari yaliyopo nchini inakuwaje Mkuu!?
 
Umeambiwa jifunze kuzoea kifo, usiwe muoga.
 
Tatizo la nchi yetu linatokana na elimu yetu tunayopewa tukiwa watoto had utu uzima tunaendeleza na ufinyu wa elimu unatupelekea kupuuza ya muhimu ktk Taifa na kuyapa ya umuhimu mapuuza.siyo watoto na watu wazima pekee bali pia na viongozi wa juu serikalini.mimi huwa nafikiria nihamie nchi gani isiyo na kasoro? Najikuta naenda hospital kuitazama montury kuona kama inakwepeka?
 
Yaani hilo jambo sijawah kulielewa 😔 Anashindwa hata kukagua gari kama lina tatizo
Kiini cha tatizo hamkijui? Ngoja niwaambie. Incompent government iliyosabishwa na CCM hasa baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu na kuishiwa kila kitu. Bila kushughulikia hili hata tufanyeje ni bure.
 
Uwiih 😃
 
Kiini cha tatizo hamkijui? Ngoja niwaambie. Incompent government iliyosabishwa na CCM hasa baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu na kuishiwa kila kitu. Bila kushughulikia hili hata tufanyeje ni bure.
Hoja ya msingi sana 🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…