Tatizo la Ajali za Barabarani Litatumaliza Watanzania. Je, Kweli Serikali Haiwezi Kufanya Kitu?

Yaan hili suala
Madereva wazuiwe kuchat na kulewa wakiwa wanaendesha
Saa hiyo serikali ya kuwa strictly dhid ya utovu wa nidham barabaran ipo!???...yaan iktokea kuna abiria akmsema mtukufu kwenye gar anaonekan chap lkn madereva wanao endesha magar ya umma na serikali kama vichaa huwa wanaonekana wakisha mwaga damu za watu ambao hata kununua paracetamol ni mbinde.
 
Sema Kuna abiria hawabendi mwendo wa wastani...wanapenda kupelekewa moto balaa 🙌
 
Sas tu-asume hao abiria ni raia wanapenda kuchagua viongoz ambao serkali haipend.Swali ni kwanin mkazo wa mtazamo wa kimawazo kisiasa unadhibitika!? Je huo mkazo ukiwekwa barabaran hao abiria na madereva wanaojisahau hawawez kudhibitka!?...ili kunusuru kumwagika dama za raia na ulemavu wa kudumu usio na sababu!?
 
Sahvi wengi wa watumiaji vyombo vya moto vichaa tu

Ova
 
Back
Top Bottom