Tatizo la Ajali za Barabarani Litatumaliza Watanzania. Je, Kweli Serikali Haiwezi Kufanya Kitu?

Wanasema Africa inamiliki only 4% ya magari yaliyopo Duniani lakini ndio inaongoza Kwa ajali za barabarani. Vipi tungemiliki 30% ya magari yaliyopo Duniani ingekuwaje?
 
Jambo la msingi ni ukajiandikishe kwaajili ya kupiga kura basi hayo mengine haya kuhusu
Hata kulinda kura yako kwamba iko salama si haki ya pia huna haki ya kuandamana la muhimu ni ujiandikishe na kupiga kura basi
 
Kuna mwamba aliposhika madaraka tu huko Georgia alifukuza askari police wote na customs wote
Alikuwa kwenye mkutano Nigeria akawaambia hata sisi tulikuwa zaidi yenu lakini nilipofukuza wote nikaajari wapya kwa masharti na pia niliongeza mshahara zaidi
Bila hivyo hamtoboi
Hii ilikuwa 2014
 
Hili ni moja ya vitu vnavyonifanya nione nchi yangu pendwa yaan serikali na raia wake hatuna uchungu na maisha ya watu kbsaa.Yaan we don care hata kidogo.Sas itokee ajali iue kiongoz hapo ndo utajua uhai unathaman.
 
Jambo la msingi ni ukajiandikishe kwaajili ya kupiga kura basi hayo mengine haya kuhusu
Hata kulinda kura yako kwamba iko salama si haki ya pia huna haki ya kuandamana la muhimu ni ujiandikishe na kupiga kura basi
Serious!??
 
Best medication
 
Hili ni moja ya vitu vnavyonifanya nione nchi yangu pendwa yaan serikali na raia wake hatuna uchungu na maisha ya watu kbsaa.Yaan we don care hata kidogo.Sas itokee ajali iue kiongoz hapo ndo utajua uhai unathaman.
Ikipitq na waziri hapo ndo wataona hii kitu ina umuhimu
 
Nilishatoa ushauri leseni za udereva zitolewe kwa watanzania wenye elimu ya kuanzia kidato cha 6 nikapuuzwa.
 
Huku kwetu kuna eneo lina daraja af kuna kona na ni bonden,bahat nzur kuna njia ya wapitakwa miguu imejtenga,sas kuna sku gas la newforce liko speed af linaovertake semi(kama mjuavyo barabara mbeya dar ilivyo na semi kibao) yaan nilkasrika mpaka nkamwonyesha dereva ishara ya "tumia akili".Gari za serkali inshantokea mara kadhaa kutaka kuwa onyesha dole la kati ,yaan utafliri ni imortals sio kwa uendeshaji ovyo ule.Kiufup serikali haijali raia kbsaa ktk sual matumiz ya bara bara.
 
Ni hatari sana kuendesha masafa marefu kwenye Ardhi ya Tanzania na pia kutoka Kapiri Mposhi mpaka Nakonde/Tunduma.
 
Aisee
 
Best medication
Tatizo sio madereva tu bali hata hao wanaosimamisha na kuruhusu waondoke ili wakafe mbele kwa thamani ndogo au hela ya brush
Bus au lorry halijafanyiwa service miezi
Matairi kipara au break zimeisha na speed ndio ya kutafuta sifa
Hapo unategemea nini kama sio time bomb linalosubiri kulipuka ?
Na wanaachiwa waendelee na safari
 
Ndo ile askari anaingia kuwasalimia halafu anashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…