Yaani nyie wabongo mbona mmelala fofofo?
We unaona mwisho wa mwaka huu! Huoni wengine hadi wanasema wazi2 kuwa ukitaka Biashara yako iendelee/upate hela lazima ufanye hivo ebo! Endelea kulala!