Tatizo la Ali Kiba kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond

Tatizo la Ali Kiba kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond

Nimesoma pahala

"Eti anasema wengi wanamsumbua na simu na hata hawajui kuhusu kumpigia kura nyingi na hashindi wakati hakutaja namba zaidi ya mmoja na wengine...

Anarogwa kamuachia Mungu

Watu wanatumia pesa zao kumpigia kura kwa simu na wanalalamika hashindi, watu wanahonga asishinde hawezi kumtaja mtu huyo jina.

Anapendwa na kujulikana karudi Afrika nzima

Davido anajipanga kupiga nae mziki mzurinwatakaoutaariaha sababu Number One na Diamond walipigia kideo studio nyuma ya steji.

Yeye hawasiliani na Davido na sio marafaiki, bali mgmt yake ndio wanawasiliana

Kuhusu ujumbe alioandika kuwa wamemwibia ni yeye angeshinda tuzo za Nigeria bali akashinda Diamond anaamini alipata kura nyingi zaidi na aliandika watu wasimfikirie vibaya kwa maneno take, Ayo akamuuliza sasa mbona uliitoa hana jibu la kujitetea..."
 
Mbona alishajulikana anatumia kupaa kupitia Diamond ila kama alishindwa mwaka juzi hadi mwaka jana

Bora aache kulaumu apige kazi tu sasa, kwa maelezo hayo juu wala hajipaishi anaongelea lawama.

Huu ni mwaka 2016 kila mtu abebe mzigo wake na kujiju

Kazi iwe kazi
 
Alinganisha kifo na usingizi huyu,ivi diamond wamlinganisha na alikiba aseee alafu huyo wakuitwa diamond akiwa onstage anasaidiwa na CD,mchek alkiba anaimba hadi live band
Mleta uzi ni popoma tu,sikutegemea aandike tofauti na alichoandika.
Watuache na Kiba wetu,maringo anayo sababu anaujua mziki.
 
Alinganisha kifo na usingizi huyu,ivi diamond wamlinganisha na alikiba aseee alafu huyo wakuitwa diamond akiwa onstage anasaidiwa na CD,mchek alkiba anaimba hadi live band
Mimi ndio maana siku hizi sitaki hata kubishana na wajinga wajinga kama hawa.
Ni kumshushia hadhi Mwanamuziki Ali Kiba kumlinganisha na msanii Diamond.
 
Tanzania hii inajulikana watu wanatamani wanamuziki wanaowapenda wangekuwa kama Diamond Platnumz ila ndio hivyo hata ingekuwa sauti sijui kuimba kunakotoa nyoka pangoni ukweli ni kwamba aliyepaa zaidi maishani mwao ni D aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari.

Hata nyimbo zikitoka bora washabiki haswa na sie sisi wasikilizaji tuu mukae miaka mnadonoa basi hata zivutie wapi.

Ukweli ndio huo kwa michuzi D kwa akili ya kujiendeleza D kwa kingine chochote D.

Penda usipende wivu nao mbaya aaagh yule kopi kopi yote hadi mapozi ya picha wapi inakula kwa mama tu.
 
Teh teh mwanamuziki mkubwa anaishi kwa mama
 
Kiba kweli anaimba sana pengine kuliko huyo hasimu wake lakini ana kelele mno kama panya hadi anakera. Lakini wote hawamfikii Banana Zoro, hapa nasikiliza Nenda kaseme tena.. super music
 
Duuuh bifuu za kutengeneza zinatupeleka pa baya.
 
Diamond - wa kimataifa
Alikiba - wa mchangani
Ni kama simba na yanga tu
 
Kiba kweli anaimba sana pengine kuliko huyo hasimu wake lakini ana kelele mno kama panya hadi anakera. Lakini wote hawamfikii Banana Zoro, hapa nasikiliza Nenda kaseme tena.. super music
Ah ah ah! Mi nipo nasikiliza nzela hapa ya live, banana mkali
 
Mleta uzi ni popoma tu,sikutegemea aandike tofauti na alichoandika.
Watuache na Kiba wetu,maringo anayo sababu anaujua mziki.
Nimeona hiyo interview ya Ali Kiba, kiukweli ni mbovu. Huwezi kufanya kazi kwa kumfanya mwingine aonekane mbaya na wewe uonekane mzuri. Halafu pia ni dharau anahojiwa huku anabofya bofya simu.
 
Sijawah kuona msanii wa bongoflv mwenye maringo kama huyu Ku dah ananata adi anaboa yani" cjui angekua ndio top hapa Tz ingekuwaje. Kuna kipande kingne akihojiwa na millard anasema et ( hana rafiki yy labda abdul kiba..anasema Ben Paul alimpigia simu hakupokea tu ) k anaringa kama anyi
 
Back
Top Bottom