Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

Kama siyo wewe basi anakuwa mtu fulani, au ndugu au kikundi fulani cha watu au mamlaka fulani. Jambo halitokei hivi hivi, lazima kuna mtu anahusika na kutuletea janga hili la chattle
Wapwa wametu cost sana! Huyu jamaa hatufai
 
Hivi unajua kwanini kuna Serikali? Sio kwamba inatakiwa ifanye kila kitu lakini unaelewa wajibu wake hasa katika masuala kama haya
 
ahahahhaa nasikia covid-19 ikonjiani inaitafuta CHATO
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......unajua watu wanasikilizia siku moja wasikie imemfikia. Nakwambia mtaani itakuwa sherehe. Hili jambo la chuki kwa huyu ndugu limefikia kiwango kikubwa sana hadi binafsi naogopa kwa sababu Mungu anatuhimiza kupendana na kutakiana mema. tatizo ni pale anayetakiwa kupendwa na kuungwa mkono anapokuwa wa kwanza kuumiza wenzake. Ni shida kweli kweli, ikizingatiwa kuwa hakuna kukimbizwa India wala wapi, ni humuhumu tunabanana kwenye vitanda vyetu vya Kibasila wing
 
Wewe ndio watoa taarifa ya uzushi. Hospitali zilizoteuliwa mkoani Dsm ni kwa ajili ya vipimo vya awali vya COVID-19 ili kuongeza uwezo wa upimaji. Mgonjwa akithibitishwa anapelekwa Mloganzira kwa matibabu.

Tumeumbwa na uelewa tofauti hapa duniani, na kila Mungu amekuwa na kusudi naye. Wengine amewaleta awe anajifurahisha anapowatazama (kama vile tu sisi binadamu tunavyoangalia 'comedy')
 
Kumbuka tu kwamba uhai wako uko mikononi mwako unapofanya maamuzi na kuyatekeleza. Uliingia duniani peke yako na utataitoka mwenyewe tu.

Hujui ni kwa nini kuna "Serikali" kila nchi duniani!!! Binadamu angekuwa na uwezo wa kufanya maamuzi mwenyewe, kwa namna unayodhani wewe, nini sasa sababu ya kuweka Serikali itunge sheria na kuweka utaratibu. Kuna kitu wanaita "market failure", huu ndiyo msingi wa uwepo wa "Serikali"! Mashuleni huwa mnaenda kufanya nini!????
 
Serikali ilaumiwa imetengeneza COVID-19, kinga familia yako acheni ni tabia za kulaumu kwa kila kitu, tunpoteza muda mwingi kulaumiani badala ya kutatua tatizo. Ghana ilifunga Mipaka lakini baada ya siku 21 imefungua ila gonjwa bado lipo, ili kuokoa maisha ya watu wake.
 
JPM - Hatuombei ila watanzania wakianza kufa kwa mafungu wanaweza kukugeukia usiamini...

Ushauri: Funga mikoa yote fasta...ruhusu vyakula tu ku move.

Tupo vitani....
 
Kwa hoja yako hiyo pasingekuwepo Bunge na Mahakama katika nchi. Naamini hujanielewa na kamwe hutaniekewa kwa kuwa ni mmoja wa watu ambao huitegemea Serikali kwa kila kitu.

Ebu jiulilize kwa mifano michache ifuatayo: Mbona unaishi kwenye nyumba yenye milango na madirisha? Kwa nini unavaa nguo? Nani anakupangia aina ya chakula na wakati wa kula?
 

Nimefahamu kinachotufanya mimi na wewe tusielewane, na maswali yako yana akisi hivyo. Maswali yako yanarudi kwenye hoja yangu, lakini hutoelewa hata ukae ufikirie mwaka mzima (kuna jambo la msingi sana linalotufanya mimi na wewe tusielewane).
 
JPM - Hatuombei ila watanzania wakianza kufa kwa mafungu wanaweza kukugeukia usiamini...

Ushauri: Funga mikoa yote fasta...ruhusu vyakula tu ku move.

Tupo vitani....

Sikio la kufa ...
 

Horrific. Muda wa kuwa zuia hawa watu.

Wazalendo bila kujali vyama mko wapi haya yakiendelea?

Wapinzani na hata CCM mko wapi kikundi hiki kidogo kikiendeleza ubazazi huu?

Bungeni mnafanya nini huko ubazazi huu ukiendelea?

Jamii tumekosa mwelekeo kiasi hiki?
 
Kama ni kweli, NI HATARI KUBWA SANA 😰😰😰
 
I hope Mzee magu pamoja na kamati yake watakua kwenye hiyo list ya wahanga laki 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lingekuwa sio kubwa Kama sasa hivi endapo serikali ingesikiliza ushauri wa
1.kufunga mipaka yote
Kwa sababu ugonjwa huu umeletwa na ndege kupitia Wageni wakiwemo watalii nk wanaotoka mataifa yenye wagonjwa wa corona.
 
Kwasasa Wananchi waliowengi wamemchukia kiasi cha kutisha kwa kweli waliobaki wanampenda ni Mapolisi tu kwa sababu amekuwa akiwaongezea mishahara kila wanapowapiga na kuwadhalilisha Chadema ila Zitto hawamgusi
Huu ugonjwa, polisi watakuja kuwa miongoni mwa waathirika wakubwa. Kwanza wanaishi kwenye kota, achilia mbali tabia yao ya rushwa.
 
Wanainchi wanaomchukia ni kikundi Cha wahuni wa ufipa ila mamilioni ya watanzania watakupa jibu kwenye sanduku la kura uchaguzi ujao

🤣🤣🤣🤣 ivi ukiwa ccm unakuwa mbumbumbu eti ?

mfano Ugonjwa mkubwa kabisa ulofanya dunia nzima ishake major events zifungwe na watu kibao wapoteze maisha mtu anakuja kusema kagonjwa kadogo ka korona ila umekimbia haka kagonjwa umeenda kujificha bush kwenu.

nikwambie kitu mkuu nimekuspot unatetea upumbavu wa watawala na nikwambie ukweli korona ikifika kwenye level ya familia yenu ndio utaelewa nini tulikuwa tunasema, watu wameanza kudondoka na madhara ya ugonjwa yanaonekana, Rais kajificha daaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…