Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

Oya wadau mbona nikitaka kupreview vyeti vyangu nilivyo attach inakataa???
Screenshot_20220423-152158.jpg
 
Diploma in Secondary Education kwenye course hamna bro bashungwa unakwama wap na team yako ya IT
 
Wamenijib hivi
Sasa hao jamaa wakiweka zote inawaathiri nini? Lakini mkuu pia si vyema kurekodi watu wakiwa kazini, unless wamekufanyia ubaya. Ungetoa feedback tu ya walichokwambia, na si kurekodi calls kama mnaviziana.
 
Duuuh sawa

Jamani kwangu kwa upande wa UDOM courses zimekubali
 
Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje)

Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati mbaya, courses nyingi hazidisplay (hazionekani) katika mfumo.

Shida ni kuwa huwezi kuandika jina la course mwenyewe bali unaselect kama nilivyosema hapo awali. Hili tatizo liko kwa waombaji wengi. Lakini vilevile hili tatizo lipo tangu mwaka Jana na naona bado halijafanyiwa utatuzi.

Tunawaomba TAMISEMI wa-add courses zifuatazo ili kila mwalimu afanye application bila tatizo lolote.
  • Bachelor of Arts with Education (BAEd)
  • Bachelor of science with education (BSc Ed)
  • Bachelor of Education in arts (BEDA)
  • Bachelor of Education in Science (BEd Sc)
  • Bachelor of Education in psychology (B.Ed PSY)
  • Bachelor of Education in policy planning and management (B.Ed PPM),
  • Bachelor of Education in guidance and counselling (B.Ed GUCO)
  • Bachelor of Education in science (B.Ed Sc),
  • Bachelor of Education in special education (B.Ed SPED)
  • Bachelor of Education in adult education and community development (B.Ed AECD)
  • Bachelor of Education in science with ICT (B.Ed Sc ICT)
  • Bachelor of Education in early childhood education (B.Ed ECE)
  • Bachelor of Education in physical education and sport science (B.Ed PESS)
  • Bachelor of Education in primary education
  • Bachelor of Education in commerce (B.Ed COM)
  • N.k.
Natumai ma IT na wafanyakazi wa TAMISEMI wataliona hili na kulifanyia utatuzi kwani ni tatizo kwa waombaji wengi.

Kama nawewe unapitia changamoto hii karibu tudiscuss kivipi tunaweza kuitatua.
Hawa ma-IT wa kibongo mafala sana, sijui huwa wanasomea wapi hawa mbuzi, yaani hata sehemu ya kuchagua mikoa ni mtiti eti wanakuambia chagua mkoa halafu mikoa yenyewe hawajaweka. Mbuzi kweli hawa
 
Sasa hao jamaa wakiweka zote inawaathiri nini? Lakini mkuu pia si vyema kurekodi watu wakiwa kazini, unless wamekufanyia ubaya. Ungetoa feedback tu ya walichokwambia, na si kurekodi calls kama mnaviziana.
Mwenyewe Nimeshangaa, au jamaa aldhan atajibiwa vibaya
 
Jamani kwangu kwa upande wa UDOM courses zimekubali
mkuu kama za UDOM zimekubali ninaomba uniangalizie na hii course kama ipo maana yake kwangu haisomeki kabisa Bachelor of education in arts (BEDA).
 
mkuu kama za UDOM zimekubali ninaomba uniangalizie na hii course kama ipo maana yake kwangu haisomeki kabisa Bachelor of education in arts (BEDA).
Sijaiona lakin kadri muda unavyokwenda ndio kozi zinaweka kwenye mfumo
 
Hawa ma-IT wa kibongo mafala sana, sijui huwa wanasomea wapi hawa mbuzi, yaani hata sehemu ya kuchagua mikoa ni mtiti eti wanakuambia chagua mkoa halafu mikoa yenyewe hawajaweka. Mbuzi kweli hawa
mm vyuo vinakuja duplicate sasa ukiotea chuo chenye hio kozi fresh
 
Back
Top Bottom