Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

Jamani kwenu mfumo unafunguka sasa hivi??
 
Hili kwa kweli Tamisemi walifanyie kazi
 
Hawa jamaa wanafanya testing ya mfumo wao na wakati huohuo ndio watu wanatakiwa kuapply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…