Tatizo la definition ya democracy ni kua haisemi hao “people” ni kina nani.

Tatizo la definition ya democracy ni kua haisemi hao “people” ni kina nani.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
May be the “people” in question are those in power or those with power.
May be the “people” are those with a lot of money who can change the direction of the government or they can enjoy their freedom. Like nakuaje kwenye kundi la “people” kama kura yangu haina nguvu hata kwa kumchagua mwenyekiti wa kijiji?

Or may be “people” are those handsome boys who are admired with so many girls, na kama ni hivyo, am the “PEOPLE”
 
Golden people according to Plato 419 BC people with high IQ should reign the government because they have good plans an manegement.
 
Kishundu ni cha kwako bwashee hakuna anae kukataza ukitumie vipi master.
 
Mfumo ninaoukubali ni ule wa uchaguzi ukifanyika chama kimoja kikapata asilimia 80 ya kura na kingine 10 na kingine 10 basi wote waunde serikali kulingana na asilimia walizo Pata.
 
The definition changes according to each country, the people of Kenya in no way fit the definition in Tanzania where we have one party dictatorship.
 
Back
Top Bottom