Tatizo la gari hili linaweza kuwa nini?

eity 4

Senior Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
148
Reaction score
209
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.

Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi.

Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake. Yaani sehemu ya kilometer 87 ambayo Huwa natumia MAFUTA ya 30000, nimetumia ya 40000.

Eti shida inaweza kuwa nini?
 
Gari unalo wewe.

Tafuta mashine ya Diagnosis upime.
 
Huduma ya kwanza
Plugs
Ignition coil
Fuel filter

Halafu ndio mengine kama oxygen sensor yafuate!
 
Mzee najua unamiliki mkoloni
 
🤣🤣
 
Jifunze kuendesha gari kwa RPM. Gari nyingi isizi 3. Engine ichanganye yenyewe usiforce kukanyanga mafuta.
Baada ya hapo..
.je wajua plugs zinashauriwa kubadilishwa kila baada ya km 20,000 ?
Je, wewe unaweka mafuta popote? Tafiti kampuni zenye mafuta bora...


Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
We subiri nijichangechange ning'oe la watasha tutaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…