Tatizo la gari hili linaweza kuwa nini?

Tatizo la gari hili linaweza kuwa nini?

eity 4

Senior Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
148
Reaction score
209
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.

Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi.

Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake. Yaani sehemu ya kilometer 87 ambayo Huwa natumia MAFUTA ya 30000, nimetumia ya 40000.

Eti shida inaweza kuwa nini?
 
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu. Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi. Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake. Yaani sehemu ya kilometer 87 ambayo Huwa natumia MAFUTA ya 30000, nimetumia ya 40000. Eti shida inaweza kuwa nini?
Gari unalo wewe.

Tafuta mashine ya Diagnosis upime.
 
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.

Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi.

Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake. Yaani sehemu ya kilometer 87 ambayo Huwa natumia MAFUTA ya 30000, nimetumia ya 40000.

Eti shida inaweza kuwa nini?
Huduma ya kwanza
Plugs
Ignition coil
Fuel filter

Halafu ndio mengine kama oxygen sensor yafuate!
 
Ha ha ha tangu jana umepata replies nne tu! Hii ingekuwa BMW VW LR uzi huu ungekuwa na pages 50 sasa hivi. Jamani wazee wa Toyota acheni unafiki msaidieni mwenzenu. Ingekuwa yale magari fulani mngejaa hapa kujidai mnajua magari lakini mwenzenu huyu ana tatizo hamuonekani
Extrovert Mzee Kigogo
🤣🤣
 
Jifunze kuendesha gari kwa RPM. Gari nyingi isizi 3. Engine ichanganye yenyewe usiforce kukanyanga mafuta.
Baada ya hapo..
.je wajua plugs zinashauriwa kubadilishwa kila baada ya km 20,000 ?
Je, wewe unaweka mafuta popote? Tafiti kampuni zenye mafuta bora...

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha tangu jana umepata replies nne tu! Hii ingekuwa BMW VW LR uzi huu ungekuwa na pages 50 sasa hivi. Jamani wazee wa Toyota acheni unafiki msaidieni mwenzenu. Ingekuwa yale magari fulani mngejaa hapa kujidai mnajua magari lakini mwenzenu huyu ana tatizo hamuonekani
Extrovert Mzee Kigogo
We subiri nijichangechange ning'oe la watasha tutaelewana
 
Back
Top Bottom