Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.
Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi.
Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake. Yaani sehemu ya kilometer 87 ambayo Huwa natumia MAFUTA ya 30000, nimetumia ya 40000.
Eti shida inaweza kuwa nini?