hapo shida itakua labda kwenye wheel alignment au mounting ya engine ila kama sikosei hiyo ni 3l diesel au 5l maswala ya spark plug haina huko angaika na miguu ya gari fanya full servi
Issu hapo itakuwa ni Woga. Gari lako huwa marafiki halifiki hizo speed. So lazima liwe na woga na kutetemeka.lizoeshe litakuja kuzoea na kuona kawaida.
Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo pia unapopunguza mwendo.
walaa usiende mbali, cheza na wheen allignment pomoja na center rubber (hii ndio inashikilia propeller ya mbele na nyuma) ikiisha hiyo lazima usikie vibration