Wewe shida yako upewe dawa au unataka kujuwa dawa jina lake? Dawa inaitwa (Diabetes Medicine 4-1) Unasemaje?Unapofanya usiri katika kutoa dawa zako, siku akitokea mtu akisema wewe ni tapeli wengi wataungana nae. Hutaki kutaja jina la dawa, hutaki kutaja gharama tukueleweje?
Bado ninalo la kusema, WEKA NA BEI PIA. Tabia ya kufanya mambo kwa siri siri ni tabia za kitapeli au kichawiWewe shida yako upewe dawa au unataka kujuwa dawa jina lake? Dawa inaitwa (Diabetes Medicine 4-1) Unasemaje?
Ukinitaka nimeshakupa Mawasiliano na mimi ukiweza nitafute usipoweza achana na mimi tafuta watu wengine usilete maneno yako ya pumba hapa tafadhali jiheshimu utaheshimiwa. Sitokujibu tena samahani.Bado ninalo la kusema, WEKA NA BEI PIA. Tabia ya kufanya mambo kwa siri siri ni tabia za kitapeli au kichawi
Vyote..maana mwili ni self healing tatizo tunaondoa balance iliyopo..ndio maana tunaumwa..solution ni kufuata masharti yote na kuanza hiyo therapy ya kuoga maji baridi daily alafu ufuatilie mabadiliko
Mchawi au tapeli laziama awe mkali ukikaribia kumkamata, heshima yako inazidi kushuka jukwaani kwasababu ya usiri usiri uliyopo kwenye tiba zako na ndiomaana tuhuma za utapeli zimeanza kuja dhidi yako.Ukinitaka nimeshakupa Mawasiliano na mimi ukiweza nitafute usipoweza achana na mimi tafuta watu wengine usilete maneno yako ya pumba hapa tafadhali jiheshimu utaheshimiwa. Sitokujibu tena samahani.
Kisukar ndugu yng haitibiki, sema Kuna dawa za kuunguza makali yk, kwasabb kongosho likishakufa haliji jingine ndugu
Mpwa usingeandoka garama wachaga wanasema ungeshaa hizo pm asilimia30 ya watz wanna sugar hawawaliopima wasiopima kujijua niwengizaidoDawa ya kutibu Maradhi ya kisukari kwa Tiba Mbadala mimi ninayo ukihitaji wasiliana na mimi lakini kwa gharama ndio nitakupa unaweza kunitafuta mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Mjomba wengine sio wagonjwa wanataka kunichora mimi na mimi sichoreki kabisa nimesha wastukia Mkuu Pdidy Ukiwa na shida ya ukweli utanitafuta usipo kuwa na shida huwezi kunitafuta.Mpwa usingeandoka garama wachaga wanasema ungeshaa hizo pm asilimia30 ya watz wanna sugar hawawaliopima wasiopima kujijua niwengizaido
Asante sana Dr.
Jamaa yangu ametumia pombe haina ya bia kwa muda mrefu sasa.kwa sasa anasema ana dalili za ugonjwa wa kisukari je .docta na wadau wengine bia inaweza sababisha ugonjwa wa kisukari?.karibu tafadhali.
Pombe peke yake hapana,
Magonjwa mengi yana sababishwa na vitu vingi,
Issue ya sukari kuna kitu kama Genetics, Overweight, Life style ikiwa ni pamoja na kutokufanya mazoezi, kuvuta sigara, na mengine mengi ikiwemo pancreatic failure..
Issue ya pombe inawezekana kwa kuwa zina effct ya kuongeza sukari mwilini, kupata sukari kwa kunywa pombe peke haitoshi, huyo ndugu yako atakuwa alinenepeana pia.
Hadi mtu anapata TYPE 11 diabetes, ni matokeo ya Kongosho kushindwa kuachia insuline ya kutoshakubadilisha sukari iliyo kwenye damu kuwa katika hali nyingine....na mara nyingi huchangiwa na sababu nilizozitaja hapo juu,
Dalili za mwanzo kabisa za nyumbani ni sukari kuwa kwenye mkojo...utajuaje?
Ukiona umekojoa mahali na sisimizi wanakula mkojo, bado ukawa unakunywa aji mengi na bado una kiu, Kuchoka kusiko kawaida, wahi hospitali mapema
Namshauri ndugu yako aende kwa DR Abbas Kariakoo kwa uchunguzi zaidi..
Tuchukue tahadhari ukiacha mambo mengine, ugonjwa huu asilimia kubwa huchangiwa na Life style.