Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kuhusu kuoga maji ya baridi..nimewapa tiba ambayo ni bure..naona mnaamini tiba za kulipia..na kumeza tembe..sawa endeleeni na imani hiyo.

Inagharimu nini kujaribu kuoga maji ya baridi mara kadha kwa siku huku ukifwatilia maendeleo ya sukari yako alafu uje na facts kuwa haisaidii chochote.

Hii tiba ambayo ni price less haiwezi kupendwa na watu wanaonufaika na uuzaji wa madawa ndio maana researchers waliogundua wamepata sana upinzani..give it a try.
 
Unapofanya usiri katika kutoa dawa zako, siku akitokea mtu akisema wewe ni tapeli wengi wataungana nae. Hutaki kutaja jina la dawa, hutaki kutaja gharama tukueleweje?
Wewe shida yako upewe dawa au unataka kujuwa dawa jina lake? Dawa inaitwa (Diabetes Medicine 4-1) Unasemaje?
 
Bado ninalo la kusema, WEKA NA BEI PIA. Tabia ya kufanya mambo kwa siri siri ni tabia za kitapeli au kichawi
Ukinitaka nimeshakupa Mawasiliano na mimi ukiweza nitafute usipoweza achana na mimi tafuta watu wengine usilete maneno yako ya pumba hapa tafadhali jiheshimu utaheshimiwa. Sitokujibu tena samahani.
 
Vyote..maana mwili ni self healing tatizo tunaondoa balance iliyopo..ndio maana tunaumwa..solution ni kufuata masharti yote na kuanza hiyo therapy ya kuoga maji baridi daily alafu ufuatilie mabadiliko

mkuu maji baridi mbona ndio wanayooga karibu watu wote au yanayotoka kwenye jokofu?
 
Ukinitaka nimeshakupa Mawasiliano na mimi ukiweza nitafute usipoweza achana na mimi tafuta watu wengine usilete maneno yako ya pumba hapa tafadhali jiheshimu utaheshimiwa. Sitokujibu tena samahani.
Mchawi au tapeli laziama awe mkali ukikaribia kumkamata, heshima yako inazidi kushuka jukwaani kwasababu ya usiri usiri uliyopo kwenye tiba zako na ndiomaana tuhuma za utapeli zimeanza kuja dhidi yako.
 
Kisukar ndugu yng haitibiki, sema Kuna dawa za kuunguza makali yk, kwasabb kongosho likishakufa haliji jingine ndugu

Acha kukatisha watu tamaa ... hakuna kiskuri cha aina moja ... visukari vipo vya aina Tatu kama sikosei .

Na Kati ya hivyi viwili katika yake ni rahisi kutibika kabisa , na kimoja huweza kutibika kwa kufuata masharti.

Acheni mawazo na Imani Finyu ..

Mgonjwa anaomba Usha hala unaandika kitu direct namna hiyo.

Ushauri wangu kwa mgonjwa.

Nimesikia Saana kuhusu mayai ya Kware/ ni jamii ya Ndege , jaribu kuyatafuta na upate maelezo ya kuyatumi , nasikia ni mazuri saana kwa watu wenye Presha na Kisukari
 
Dawa ya kutibu Maradhi ya kisukari kwa Tiba Mbadala mimi ninayo ukihitaji wasiliana na mimi lakini kwa gharama ndio nitakupa unaweza kunitafuta mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Mpwa usingeandoka garama wachaga wanasema ungeshaa hizo pm asilimia30 ya watz wanna sugar hawawaliopima wasiopima kujijua niwengizaido
 
Mpwa usingeandoka garama wachaga wanasema ungeshaa hizo pm asilimia30 ya watz wanna sugar hawawaliopima wasiopima kujijua niwengizaido
Mjomba wengine sio wagonjwa wanataka kunichora mimi na mimi sichoreki kabisa nimesha wastukia Mkuu Pdidy Ukiwa na shida ya ukweli utanitafuta usipo kuwa na shida huwezi kunitafuta.
 
Kabusa mpwa heshima kwanza mpesalamu mama. mm m
 
Habari,

Tatizo la kisukari husababishwa na kongosho kushidwa kufanya kazi vizuri kwani kongosho huweza kuzalisha hormone iitwayo insulin ambayo nayo hufanya kazi ya ku release hormone nyingne ya glucagon hivyo insulin hufanya kazi ya kuweka sawa kiasi cha sukari mwilin (normalize the glucose level ) hivyo kama kongosho ikashidwa kuzalisha vzur hormone hiyo basi mtu ata pata kisukari.

Kuna aina mbili za kisukari.

1. KISUKARIvCHA KURITHI

Hiki ni kisukari kinachotokana na kurithi pia huambatana na infection ambayo inakuwa associated na ugonjwa mfano wa infection ambayo inaweza kuwa associated ni coxsackie B4 virus.

2. KISUKARI KINACHOSABABISHWA NA LIFESTYLE FACTOR.

Hiki husababishwa na vyakula tunavyo kula pia tatizo la kongosho kufeli kufanya kazi kongosho hushidwa kufanya kazi vzur pale ambapo unatumia madawa mengi sana yenye chemicals, vyakula vyenye sukari nyngi na chemicals piano kama huna growth hormone excess (yani hormone ya ukuaji ikizidi )pia inawezekana ukawa na genetic defect insulin au pancreatic defect.

DALILI ZA UGONJWA

1.Mkojo kuwa na kiasi kikubwa cha sukari

2.dehydration ..increased thirsty and water consumption

3.weight loss

4.fatigue

5.fluctuations

Assyrian sana kama mtu ana tatizo hilo unaweza nitafuta kwa 0765650028 piga au whatsaap me kwa maelezo zaidi ushauri na dawa pia
 
Jamaa yangu ametumia pombe haina ya bia kwa muda mrefu sasa.kwa sasa anasema ana dalili za ugonjwa wa kisukari je .docta na wadau wengine bia inaweza sababisha ugonjwa wa kisukari?.karibu tafadhali.
 
Kisukari (diabetes) naona ndy ugonjwa #1 tz
Una wa maliza sana watu, huyo ndg yako kama Yuko dar afanye aende kwa Dr kaushik Yuko Hindu Mandal, ni dokta mzuri tu
No bora awahi akajijulie afya yake kabla hali haijawa tete,
 
Jamaa yangu ametumia pombe haina ya bia kwa muda mrefu sasa.kwa sasa anasema ana dalili za ugonjwa wa kisukari je .docta na wadau wengine bia inaweza sababisha ugonjwa wa kisukari?.karibu tafadhali.

Nenda jukwaa sahihi utapata msaada.
 
Ndiyo unywaji wa pombe na tatizo la kisukari vina mahusiano kwani unywaji wa pombe kwa kiwango kikubwa au kwa muda mrefu hasa hizi manufactured brews mfano beer na pombe kali yaani spirits huathiri ini na matokeo yake ini hushindwa kutengeneza homoni aina ya insulin ambayo kazi yake kubwa ni kunyonya sukari iliyopo kwenye damu kwenda kwenye tissues au kuhifadhiwa kwenye ini kwa matumizi ya baadae,

Kwa hiyo kitendo cha sukari kuendelea kubaki kwenye mzunguko wa damu kwa muda mrefu bila kuondolewa na homoni ya insulini ndiyo hapo tunaposema mtu ana tatizo la kisukari.

Kwa kifupi uhusiano upo ndugu.
 
Pombe peke yake hapana,
Magonjwa mengi yana sababishwa na vitu vingi,
Issue ya sukari kuna kitu kama Genetics, Overweight, Life style ikiwa ni pamoja na kutokufanya mazoezi, kuvuta sigara, na mengine mengi ikiwemo pancreatic failure..

Issue ya pombe inawezekana kwa kuwa zina effct ya kuongeza sukari mwilini, kupata sukari kwa kunywa pombe peke haitoshi, huyo ndugu yako atakuwa alinenepeana pia.
Hadi mtu anapata TYPE 11 diabetes, ni matokeo ya Kongosho kushindwa kuachia insuline ya kutoshakubadilisha sukari iliyo kwenye damu kuwa katika hali nyingine....na mara nyingi huchangiwa na sababu nilizozitaja hapo juu,
Dalili za mwanzo kabisa za nyumbani ni sukari kuwa kwenye mkojo...utajuaje?
Ukiona umekojoa mahali na sisimizi wanakula mkojo, bado ukawa unakunywa aji mengi na bado una kiu, Kuchoka kusiko kawaida, wahi hospitali mapema

Namshauri ndugu yako aende kwa DR Abbas Kariakoo kwa uchunguzi zaidi..

Tuchukue tahadhari ukiacha mambo mengine, ugonjwa huu asilimia kubwa huchangiwa na Life style.
 
Sawa kaka
 
Kaka huyo m2 anaweza kupata msaada kupitia sisi pia tunaweza kumpa tiba. Tuwasiliane kwa namb 0712389866
 
Type2 d.m...lifestyle disease...unywaji wa pombe sana huleta hii ugonjwa...anafaa kuenda diabetic clinic apate mafunzo kuhusu maintanance...
 
Back
Top Bottom