Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
wanao jua wanijulishe
Naomba kujua wadau. kwa sababu siku za hivi karibuni nimejikuta nakunywa maji mengi sana hasa nyakati za usiku na kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku. sasa kabla sijaenda kwenye vipimo naomba kujua zipi ni dalili za awali za kisukari. je ni vyakula gani mgonjwa wa kisukari anatakiwa asile
Pole ..pole sana !! ushakuwa siyo Simba mkali..Sasa uwe SIMBA mpole na mwenye kuheshimuJuzi nilienda hospotali, katika kuchukua vipimo, dokta akaniambia nilikuwa nakaribia kupata ugonjwa wa kisukari, kwani alianiambia kwamba kipimo kilionyesha 18 badala ya 5,6 au 7 ambayo ni ya kawaida sana. Sasa akaniambia nibadili utaratibu wa kula na kunitaka kula wali na ugali kwa uachache sana huku mbogamboga na maji yakivipa nafasi kubwa, akasisitiza nitumie sana jamii ya maharage na samaki na tunda la tango. Na pia kuachana na sukari yenyewe na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
Miye nilikuwa mnywaji mzuri wa juice ya miwa, machungwa na juice ya tende ambayo imechanganywa na maziwa. Bahati mbaya sikumuuliza vitu kama tende na juice ya muwa inafaa tena?
Kama kuna mtu ana uelewa wa ulaji wa matunda naomba anifahamishe hapa, ninaamini na wenginen wataweza kupata taarifa na kuwa na uelewa jinsi ya kuepukana na ugonjwa huu ambao unawatafuna Watz wengi, natanguliza shukrani.
Nashukuru kwa ushauri, ila miye bado Simba Mkali kwa kuwa nimeshaanza kufanya mazoezi niko vizuri. Unajua yule dokta aliniambia kama akinipa dawa maisha yangu yote yatakuwa kunywa dawa tu. Akanipa ushuhuda wa mzazi wake. Niliogopa sana. Na nashukuru kwa kuwa nilienda kupima na kujijua mapema, bado nitaendeleza ukali wangu.Pole ..pole sana !! ushakuwa siyo Simba mkali..Sasa uwe SIMBA mpole na mwenye kuheshimu
uhai wako !! ugonjwa huu unahitaji kujitambua na kuuendekeza matakwa yake na siyo tamaa zako!! (awe rafiki wako wa kudumu usiwe mkaidi)
Epuka hizo juice zako,tende,ndizi,zabibu,miwa,embe !! hizi ni vichochezi!!
Epuka kuchokonoa mambo yasiyokuhusu kbs.. tibia hii itakumaliza!!
Fuata maelezo ya tabibu wako na uanze maozezi (mild) ya kutembea 30~40min daily.
hapo utaishi vizuri na kurudisha afya njema...
kila la kheri
Mpendwa Simba wetu... nielewe ugonjwa huu hautaki ukali wako!! Lazima utumie dawa walao kwa kiwango fulani.... Dokta huyo yukojee? vipi kulinganishe na mwengine?Nashukuru kwa ushauri, ila miye bado Simba Mkali kwa kuwa nimeshaanza kufanya mazoezi niko vizuri. Unajua yule dokta aliniambia kama akinipa dawa maisha yangu yote yatakuwa kunywa dawa tu. Akanipa ushuhuda wa mzazi wake. Niliogopa sana. Na nashukuru kwa kuwa nilienda kupima na kujijua mapema, bado nitaendeleza ukali wangu.
OMG !! wee SE kivipi?
Diabetes usipofuata miiko ni hatari kuliko HIV.OMG !! wee SE kivipi?
DAWA YA NN WW FANYA MAZOEZI TU FUATA USHAURI WA DRMpendwa Simba wetu... nielewe ugonjwa huu hautaki ukali wako!! Lazima utumie dawa walao kwa kiwango fulani.... Dokta huyo yukojee? vipi kulinganishe na mwengine?
kusema kweli gonjwa hili (Diabetic) lina ujanja na ubabaishaji na linakuvamia pasipomategemeo hilo lazima ujue hilo !!
Ukali wako uwe katika miiko na mazoezi ....tu !!
mkuu mazoezi siitiba !!! ukikomalia sana utapoteza energy !!DAWA YA NN WW FANYA MAZOEZI TU FUATA USHAURI WA DR
Kwani miye ni mkali basi, hilo ni jina tu. Najua wengi mnaniogopo kwa sababu ya jina. Nashukuru kwa ushauri mlinipa nyote. Nitaufanyia kazi. Nitaangalia daktari mwingine kupata ushauri wa zaidi.mkuu mazoezi siitiba !!! ukikomalia sana utapoteza energy !!
hairuhusiwi mwenye kisukari zaidi ya dkk 25
khaswa ikiwa umri wa 40 onwards !!
Good health
Asante ila sijawa mkaidi@Zamiluni Zamiluni.Pole ..pole sana !! ushakuwa siyo Simba mkali..Sasa uwe SIMBA mpole na mwenye kuheshimu
uhai wako !! ugonjwa huu unahitaji kujitambua na kuuendekeza matakwa yake na siyo tamaa zako!! (awe rafiki wako wa kudumu usiwe mkaidi)
Epuka hizo juice zako,tende,ndizi,zabibu,miwa,embe !! hizi ni vichochezi!!
Epuka kuchokonoa mambo yasiyokuhusu kbs.. tibia hii itakumaliza!!
Fuata maelezo ya tabibu wako na uanze maozezi (mild) ya kutembea 30~40min daily.
hapo utaishi vizuri na kurudisha afya njema...
kila la kheri