Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kunywa maji mara kwa mara,kukojoa mara kwa mara pia huitaji wa kinywaji cha sukari mfano unaweza ukawa unahitaji sprite mostly of the tym,then about chakula inategemea uko na sukari ya aina gani so its better ukaenda hospital for chekup il uwe aware mapema.
 
Naomba kujua wadau. kwa sababu siku za hivi karibuni nimejikuta nakunywa maji mengi sana hasa nyakati za usiku na kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku. sasa kabla sijaenda kwenye vipimo naomba kujua zipi ni dalili za awali za kisukari. je ni vyakula gani mgonjwa wa kisukari anatakiwa asile

Kiuhalisia kupatwa na kiu sana kunakopelekea kunywa maji mengi sana na kukojoa mara nyingi usiku ni dalili ya ugonjwa wa sukar

CHA KUFANYA

Amka subuhi na mapema kabla ya kifungua kichwa na bila kula chochote nenda kapime sukari kwa kitaala ni FASTING BLOOD GLUCOSE(FBG) ndo itakupa matokeo ya uhakika zaid
 
ibesa mau,;kupima ni jambo zuri sana mana utakuwa na uhakika na afya yako mana waweza kuwa unakunywa maji kumbe ni mwili tu umeishiwa na maji na kingine so is bettar to find a doctor fest, to know why you drink lot of water naght !!!!!!!
 
KISUKARI NAMNA YA KU-CONTROL SUGAR

Hutokea mara moja moja kuamka sukari iko juu(8-10) nina 55yrs

Aidha kwa sbb zisizoeleweka(Malaria) au kubadilika muda wa kula au chakula hasa matunda/juice au hata kiwango cha chakula .

Hii hutokana na mazingira ya kazi yangu(safari n.k),

Dawa natumia Amarly M2 au Gema 2 asubuhi baada ya breakfast na usk baada Dinner.

Swali langu : je ukijikuta asb mfano sugar iko 9 na unasikia njaa na unahisi mwili uko weak unahitaji kula vizur na ushibe vzr, ni nini cha kufanya ?

1. Kuongeza dawa ? yaani badala x2 unywe x3 ?

2. Kuongeza dawa ? yaani badala 1 tab unywe kidonge 1na nusu x2 tu ?

Tafadhali naombeni USHAURI WENU Dr's na hata wagonjwa wenzangu.
 
Juzi nilienda hospitali, katika kuchukua vipimo, dokta akaniambia nilikuwa nakaribia kupata ugonjwa wa kisukari, kwani alianiambia kwamba kipimo kilionyesha 18 badala ya 5,6 au 7 ambayo ni ya kawaida sana. Sasa akaniambia nibadili utaratibu wa kula na kunitaka kula wali na ugali kwa uachache sana huku mbogamboga na maji yakivipa nafasi kubwa, akasisitiza nitumie sana jamii ya maharage na samaki na tunda la tango. Na pia kuachana na sukari yenyewe na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.

Miye nilikuwa mnywaji mzuri wa juice ya miwa, machungwa na juice ya tende ambayo imechanganywa na maziwa. Bahati mbaya sikumuuliza vitu kama tende na juice ya muwa inafaa tena?
Kama kuna mtu ana uelewa wa ulaji wa matunda naomba anifahamishe hapa, ninaamini na wenginen wataweza kupata taarifa na kuwa na uelewa jinsi ya kuepukana na ugonjwa huu ambao unawatafuna Watz wengi, natanguliza shukrani.
 
Hivyo vitu vyote vya sukari; tende, maziwa, miwa kwa sasa ungeacha, katika chakula chako kwa mfano wali kama utaweza kuweka vijiko 3/4 vya chakula kwenye sahani na vingine ikawa mchicha na mfano maharage, kimbia asubuhi au jioni kwa lisaa limoja, unaweza kuanza na dakika 20 na kuongeza mpaka zifike 60 lakini mazoezi, kunywa maji angalau lita 2 kwa siku na kupunguza vyakula vya wanga ni njia nzuri ya kucontrol sugar mwilini.
 
Juzi nilienda hospotali, katika kuchukua vipimo, dokta akaniambia nilikuwa nakaribia kupata ugonjwa wa kisukari, kwani alianiambia kwamba kipimo kilionyesha 18 badala ya 5,6 au 7 ambayo ni ya kawaida sana. Sasa akaniambia nibadili utaratibu wa kula na kunitaka kula wali na ugali kwa uachache sana huku mbogamboga na maji yakivipa nafasi kubwa, akasisitiza nitumie sana jamii ya maharage na samaki na tunda la tango. Na pia kuachana na sukari yenyewe na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
Miye nilikuwa mnywaji mzuri wa juice ya miwa, machungwa na juice ya tende ambayo imechanganywa na maziwa. Bahati mbaya sikumuuliza vitu kama tende na juice ya muwa inafaa tena?
Kama kuna mtu ana uelewa wa ulaji wa matunda naomba anifahamishe hapa, ninaamini na wenginen wataweza kupata taarifa na kuwa na uelewa jinsi ya kuepukana na ugonjwa huu ambao unawatafuna Watz wengi, natanguliza shukrani.
Pole ..pole sana !! ushakuwa siyo Simba mkali..Sasa uwe SIMBA mpole na mwenye kuheshimu
uhai wako !! ugonjwa huu unahitaji kujitambua na kuuendekeza matakwa yake na siyo tamaa zako!! (awe rafiki wako wa kudumu usiwe mkaidi)

Epuka hizo juice zako,tende,ndizi,zabibu,miwa,embe !! hizi ni vichochezi!!
Epuka kuchokonoa mambo yasiyokuhusu kbs.. tibia hii itakumaliza!!
Fuata maelezo ya tabibu wako na uanze maozezi (mild) ya kutembea 30~40min daily.

hapo utaishi vizuri na kurudisha afya njema...
kila la kheri
 
Nashukuru kwa ushauri, ila miye bado Simba Mkali kwa kuwa nimeshaanza kufanya mazoezi niko vizuri. Unajua yule dokta aliniambia kama akinipa dawa maisha yangu yote yatakuwa kunywa dawa tu. Akanipa ushuhuda wa mzazi wake. Niliogopa sana. Na nashukuru kwa kuwa nilienda kupima na kujijua mapema, bado nitaendeleza ukali wangu.
 
pole mkuu ni vizuri ukaanza yote uliyoambiwa na mtaalamu ili kulinda afya yako
 
Nashukuru kwa ushauri, ila miye bado Simba Mkali kwa kuwa nimeshaanza kufanya mazoezi niko vizuri. Unajua yule dokta aliniambia kama akinipa dawa maisha yangu yote yatakuwa kunywa dawa tu. Akanipa ushuhuda wa mzazi wake. Niliogopa sana. Na nashukuru kwa kuwa nilienda kupima na kujijua mapema, bado nitaendeleza ukali wangu.
Mpendwa Simba wetu... nielewe ugonjwa huu hautaki ukali wako!! Lazima utumie dawa walao kwa kiwango fulani.... Dokta huyo yukojee? vipi kulinganishe na mwengine?
kusema kweli gonjwa hili (Diabetic) lina ujanja na ubabaishaji na linakuvamia pasipomategemeo hilo lazima ujue hilo !!
Ukali wako uwe katika miiko na mazoezi ....tu !!
 
huyo dr. ni wa ajabu sana , 18 anakuambia fanya mazoezi ? Anza dawa, itakusumbua diabetes ni ugonjwa wa mwili mzima. inatakiwa uiwahi , . nikupe mfano mimi mwebyewe nilikuwa na 13 nikaambiwa hivyo hivyo nifanye mazoezi na kufuata masharti ya mlo. nilifanya hivyo lakini haikunisaidia pamoja na kupunguza uzito kwa kiasi kikubwa toka 92 hadi 77 , nilikuwa nachoka , mwili kukosa nguvu . na kila nikienda kucheka glucose ilikuwa inashuka hadi kumi na kupanda hadi 17. Baadaye dr. aliamua kunianzishia dawa za awali na baada ya kutumia kwa wiki mbili nikaenda kucheki ikawa imeshuka hadi 9 na baada ya wiki tatu ikaendelea kushuka hadi sasa nina 5. . Mwili hauchoki tena . Anza dawa hilo ni tatizo ambalo inabidi ulipokee, anza dawa, fanya mazoezi , zingatia mlo haitakusumbua lakini vinginevyo itakusumbua. homa ikishaingia mwilini kutoka si rahisi
 
Mpendwa Simba wetu... nielewe ugonjwa huu hautaki ukali wako!! Lazima utumie dawa walao kwa kiwango fulani.... Dokta huyo yukojee? vipi kulinganishe na mwengine?
kusema kweli gonjwa hili (Diabetic) lina ujanja na ubabaishaji na linakuvamia pasipomategemeo hilo lazima ujue hilo !!
Ukali wako uwe katika miiko na mazoezi ....tu !!
DAWA YA NN WW FANYA MAZOEZI TU FUATA USHAURI WA DR
 
mkuu mazoezi siitiba !!! ukikomalia sana utapoteza energy !!
hairuhusiwi mwenye kisukari zaidi ya dkk 25
khaswa ikiwa umri wa 40 onwards !!
Good health
Kwani miye ni mkali basi, hilo ni jina tu. Najua wengi mnaniogopo kwa sababu ya jina. Nashukuru kwa ushauri mlinipa nyote. Nitaufanyia kazi. Nitaangalia daktari mwingine kupata ushauri wa zaidi.
 
Pole ..pole sana !! ushakuwa siyo Simba mkali..Sasa uwe SIMBA mpole na mwenye kuheshimu
uhai wako !! ugonjwa huu unahitaji kujitambua na kuuendekeza matakwa yake na siyo tamaa zako!! (awe rafiki wako wa kudumu usiwe mkaidi)

Epuka hizo juice zako,tende,ndizi,zabibu,miwa,embe !! hizi ni vichochezi!!
Epuka kuchokonoa mambo yasiyokuhusu kbs.. tibia hii itakumaliza!!
Fuata maelezo ya tabibu wako na uanze maozezi (mild) ya kutembea 30~40min daily.

hapo utaishi vizuri na kurudisha afya njema...
kila la kheri
Asante ila sijawa mkaidi@Zamiluni Zamiluni.
 
Back
Top Bottom