Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Reference ya nini kwa mfano au una maanisha haujui mahindi,viazi,muhogo,ngano,,,,au...
 
Reactions: dtj
Aise nitachange eating habit yangu shukrani
 
Kwenye science hakunaga hisia mkuu,huku kuna vitu really na unaweza ukavifanyia practical.
 
Reactions: dtj
Vyote vilivyo tajwa ni rafiki wa afy but inategemea jinsi unavyo vitumia,kama una vitumia kwa mkupuo vinaweza kuleta shida na usipo tumia kabisa pia ni tatizo.Cha msingi usile vingi sana kwa wakati mmoja mfano kula ugali,wali,maziwa,viazi na sukali kwa wakati mmoja au kwa siku nzima bila kuchanganya na vyakula vingine vya protein, lipids,vitamins,watar na madini sio nzur kiafy
 

Tule nini sasa.....!!!! kila kitu ni hatari
 
Jitahidi kula mlo kamili mkuu,sababu mlo kamili hundwa na vyakula tofauti na kila chakula kina kazi yake katika mwili.Hii itakusaidia kutokula chakula kimoja katika milo yako mitatu per day.
 
Iv we kwel n mtaalam wa afya au mbabaishaj acha kutumia misamiat ya kihuni hun katika proffesionals analysis
Ki sugar nd ugonjwa gan?
Ila nashkur kw maelezo yak machache
 
Sijakurupuka kaka ndo maana najiamini,kama unaona kuna sehem hujaelewa au haipo correct be free sio kunishitaki.
 
Nyie leteni kejeri na ubishi humu..
Mwenzu katoa onyo na tahadharishi juu la ongezeko la waathirika wa kiSukari !!
 
Mimi binafsi nimeshtushwa sana na hii taarifa kwa ujumla hasa hiyo orodha ya vilivyotajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari. Kwenye hiyo orodha kuna baadhi ya vyakula ambavyo wagonjwa wa kisukari wamekua wakishauriwa kula ili kupunguza shida ya afya zao. UZURI WA JF TUKO NA WATU WA AINA ZOTE MPAKA TIBA. Kwa wale wadau wa fani hii tunaomba marekebisho tafadhari.
 
Reactions: ADK
Nina swali kidogo mkuu.....hivi mazoezi yanapunguza sukari iliyozidi mwilini??

Na je ukifanya mazoezi huwez kupata kisukarii??

Natanguliza shukrani za dhati[emoji120]
 
Nina swali kidogo mkuu.....hivi mazoezi yanapunguza sukari iliyozidi mwilini??

Na je ukifanya mazoezi huwez kupata kisukarii??

Natanguliza shukrani za dhati[emoji120]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…