Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Reference ya nini kwa mfano au una maanisha haujui mahindi,viazi,muhogo,ngano,,,,au...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia pumzi mimi na wewe, siku hii ya leo juma pili tar 30/4/17.Ndungu zangu kisukari ni hatari sababu watu wengi hawana ufaham juu ya hili gonjwa na pia wapo watu hadi leo wanaamini kisukari ni ugonjwa wa ma boss na sio watu wa hali ya chini kimaisha.Watu wa aina hii wapuuzwe maana wana imani potofu.Labda nianze kwa kueleza kisukali au Ki sugar nini? Kifup pale insulini inaposhindwa kubalance kiwango cha sulali mwilini ndipo chanzo cha ugonjwa wa kisukari.Mazingira yanayo pelekea isulini kushindwa ku control kiwango cha sukari ni pamoja na kuzidi au kupungua kwa kiwango cha sukali mwilini.Lakini mara nyingi kuzidi kwa sukali ndo kitovu cha wengi kupata kisukarii.Wengi watu hupata kisukari kwa kutokujua vya kula ambavyo huweza kusababisha kuzidi kwa sukari mwilini.Wengi tunajua kula sukari nyingi ndo chanzo cha kisukari,wapo sahihi ila tungekuwa sahihi zaid tungejua vyakula ambavyo huongeza sukali mwilini.Hii ingewasaidia kuwa makini pindi tutumiapo sukari na vyakula vya sukali,ambavyo husababisha ongezeko LA sukari mwilini visipotumiwa kwa utaratibu.Hivyo basi ili kujizuia na kisukali ni lazima kila moja awe makini na vyakula vya carbohydrates (wanga) ambayo baada ya kutiwa tumboni then hubadilishwa kuwa glycogen,baada ya hapo glycogen hubadilishwa kuwa Glucose ambayo ni sukali.So kama umekula vya kula vya carbohydrates,at the same time ukanywa au kula sukali utakuwa umekula; "sukali juu ya sukari" ambayo ni hatari kwa afy.
Carbohydrates imegawanyika katika makundi yafwatayo.
1: monosaccharides-simple sugar
2:Oligosaccharides-hundwa na muunganiko wa simple sugar
3😛olysaccharides-Huundwa na muunganiko wa ologosaccharide.
N.B kila kundi hapo juu lina list ya vyakula vyake,lakini kulifanya somo liwe rahisi nitavi orodhesha vyakula vyote ambayo vita fit kwa kila kundi lililotwajwa hapo juu.
Bila ya kupoteza mda ifuatayo ni list ya vyakula vya carbohydrates ambayo ndio chanzo cha kisukari au ki sugar kwa lugha ya kiswa-English.
-sukali ya miwa
-glucose
-asali
-Matunda
-maziwa
-Biscute
-pelemende za kumung'unya
-vyakuka vyote vinavyo weza kukobolewa kama:
°mahindi
°muhogo
°viazi (vitam na mviringo)
°ngano
°mtama
°ndizi
°mchele n.k
Hivyo basi ni jukum la kila mmoja kujua vyakula vya carbohydrates then awe makini navyo kwa sababu vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la sukali mwilini,lakini vile vile kuacha kuvitumia kunaweza kusababisha kisukari pia.Ni vema vikatumika ila kiu makini i.e Too much carbohydrates food is harmful, but also too low carbohydrates food is harmful as well.
Pamoja sana,kama somo limekugusa comment maneno yanao leta hope pia unaweza ku like au ku share na washikaji.
Thanx for your attention.
Mods ni bora mtu kama siyo mtaalam wa Afya msirihusu thread hizo....
Sijakurupuka kaka ndo maana najiamini,kama unaona kuna sehem hujaelewa au haipo correct be free sio kunishitaki.
Tutaish vipi bila ya kula ivyo vya kula vya nafaka alivovitajaNyie leteni kejeri na ubishi humu..
Mwenzu katoa onyo na tahadharishi juu la ongezeko la waathirika wa kiSukari !!
Mimi binafsi nimeshtushwa sana na hii taarifa kwa ujumla hasa hiyo orodha ya vilivyotajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari. Kwenye hiyo orodha kuna baadhi ya vyakula ambavyo wagonjwa wa kisukari wamekua wakishauriwa kula ili kupunguza shida ya afya zao. UZURI WA JF TUKO NA WATU WA AINA ZOTE MPAKA TIBA. Kwa wale wadau wa fani hii tunaomba marekebisho tafadhari.Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia pumzi mimi na wewe, siku hii ya leo juma pili tar 30/4/17.Ndungu zangu kisukari ni hatari sababu watu wengi hawana ufaham juu ya hili gonjwa na pia wapo watu hadi leo wanaamini kisukari ni ugonjwa wa ma boss na sio watu wa hali ya chini kimaisha.Watu wa aina hii wapuuzwe maana wana imani potofu.Labda nianze kwa kueleza kisukali au Ki sugar nini? Kifup pale insulini inaposhindwa kubalance kiwango cha sukari mwilini ndipo chanzo cha ugonjwa wa kisukari.Mazingira yanayo pelekea isulini kushindwa ku control kiwango cha sukari ni pamoja na kuzidi au kupungua kwa kiwango cha sukali mwilini.Lakini mara nyingi kuzidi kwa sukali ndo kitovu cha wengi kupata kisukari.Wengi watu hupata kisukari kwa kutokujua vya kula ambavyo huweza kusababisha kuzidi kwa sukari mwilini.Wengi tunajua kula sukari nyingi ndo chanzo cha kisukari,wapo sahihi ila tungekuwa sahihi zaid tungejua vyakula ambavyo huongeza sukali mwilini.Hii ingewasaidia kuwa makini pindi tutumiapo sukari na vyakula vya sukali,ambavyo husababisha ongezeko LA sukari mwilini visipotumiwa kwa utaratibu.Hivyo basi ili kujizuia na kisukari ni lazima kila moja awe makini na vyakula vya carbohydrates (wanga) ambayo baada ya kutiwa tumboni then hubadilishwa kuwa glycogen,baada ya hapo glycogen hubadilishwa kuwa Glucose ambayo ni sukali.So kama umekula vya kula vya carbohydrates,at the same time ukanywa au kula sukali utakuwa umekula; "sukali juu ya sukari" ambayo ni hatari kwa afy.
Carbohydrates imegawanyika katika makundi yafwatayo.
1: monosaccharides-simple sugar
2:Oligosaccharides-hundwa na muunganiko wa simple sugar
3😛olysaccharides-Huundwa na muunganiko wa ologosaccharide.
N.B kila kundi hapo juu lina list ya vyakula vyake,lakini kulifanya somo liwe rahisi nitavi orodhesha vyakula vyote ambayo vita fit kwa kila kundi lililotwajwa hapo juu.
Bila ya kupoteza mda ifuatayo ni list ya vyakula vya carbohydrates ambayo ndio chanzo cha kisukari au ki sugar kwa lugha ya kiswa-English.
-sukali ya miwa
-glucose
-asali
-Matunda
-maziwa
-Biscute
-pelemende za kumung'unya
-vyakuka vyote vinavyo weza kukobolewa kama:
°mahindi
°muhogo
°viazi (vitam na mviringo)
°ngano
°mtama
°ndizi
°mchele n.k
Hivyo basi ni jukum la kila mmoja kujua vyakula vya carbohydrates then awe makini navyo kwa sababu vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la sukali mwilini,lakini vile vile kuacha kuvitumia kunaweza kusababisha kisukari pia.Ni vema vikatumika ila kiu makini i.e Too much carbohydrates food is harmful, but also too low carbohydrates food is harmful as well.
Pamoja sana,kama somo limekugusa comment maneno yanao leta hope pia unaweza ku like au ku share na washikaji.
Thanx for your attention.
Nina swali kidogo mkuu.....hivi mazoezi yanapunguza sukari iliyozidi mwilini??Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia pumzi mimi na wewe, siku hii ya leo juma pili tar 30/4/17.Ndungu zangu kisukari ni hatari sababu watu wengi hawana ufaham juu ya hili gonjwa na pia wapo watu hadi leo wanaamini kisukari ni ugonjwa wa ma boss na sio watu wa hali ya chini kimaisha.Watu wa aina hii wapuuzwe maana wana imani potofu.Labda nianze kwa kueleza kisukali au Ki sugar nini? Kifup pale insulini inaposhindwa kubalance kiwango cha sukari mwilini ndipo chanzo cha ugonjwa wa kisukari.Mazingira yanayo pelekea isulini kushindwa ku control kiwango cha sukari ni pamoja na kuzidi au kupungua kwa kiwango cha sukali mwilini.Lakini mara nyingi kuzidi kwa sukali ndo kitovu cha wengi kupata kisukari.Wengi watu hupata kisukari kwa kutokujua vya kula ambavyo huweza kusababisha kuzidi kwa sukari mwilini.Wengi tunajua kula sukari nyingi ndo chanzo cha kisukari,wapo sahihi ila tungekuwa sahihi zaid tungejua vyakula ambavyo huongeza sukali mwilini.Hii ingewasaidia kuwa makini pindi tutumiapo sukari na vyakula vya sukali,ambavyo husababisha ongezeko LA sukari mwilini visipotumiwa kwa utaratibu.Hivyo basi ili kujizuia na kisukari ni lazima kila moja awe makini na vyakula vya carbohydrates (wanga) ambayo baada ya kutiwa tumboni then hubadilishwa kuwa glycogen,baada ya hapo glycogen hubadilishwa kuwa Glucose ambayo ni sukali.So kama umekula vya kula vya carbohydrates,at the same time ukanywa au kula sukali utakuwa umekula; "sukali juu ya sukari" ambayo ni hatari kwa afy.
Carbohydrates imegawanyika katika makundi yafwatayo.
1: monosaccharides-simple sugar
2:Oligosaccharides-hundwa na muunganiko wa simple sugar
3😛olysaccharides-Huundwa na muunganiko wa ologosaccharide.
N.B kila kundi hapo juu lina list ya vyakula vyake,lakini kulifanya somo liwe rahisi nitavi orodhesha vyakula vyote ambayo vita fit kwa kila kundi lililotwajwa hapo juu.
Bila ya kupoteza mda ifuatayo ni list ya vyakula vya carbohydrates ambayo ndio chanzo cha kisukari au ki sugar kwa lugha ya kiswa-English.
-sukali ya miwa
-glucose
-asali
-Matunda
-maziwa
-Biscute
-pelemende za kumung'unya
-vyakuka vyote vinavyo weza kukobolewa kama:
°mahindi
°muhogo
°viazi (vitam na mviringo)
°ngano
°mtama
°ndizi
°mchele n.k
Hivyo basi ni jukum la kila mmoja kujua vyakula vya carbohydrates then awe makini navyo kwa sababu vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la sukali mwilini,lakini vile vile kuacha kuvitumia kunaweza kusababisha kisukari pia.Ni vema vikatumika ila kiu makini i.e Too much carbohydrates food is harmful, but also too low carbohydrates food is harmful as well.
Pamoja sana,kama somo limekugusa comment maneno yanao leta hope pia unaweza ku like au ku share na washikaji.
Thanx for your attention.
Nina swali kidogo mkuu.....hivi mazoezi yanapunguza sukari iliyozidi mwilini??
Na je ukifanya mazoezi huwez kupata kisukarii??
Natanguliza shukrani za dhati[emoji120]
Ni kweli mazoezi hupunguza sukali mwili sababu kazi kubwa ya vyakula vya carbohydrates ni kuupa mwili nguvu.Na ndo maana watu wanao fanya kazi zinazo tumia nguvu kama physical exercise, kulima n.k wanashauriwa kula vyakula vya carbohydrates. Kwa upande mwingi wale wenzangu ambao tunakula hivi vyakula kwa wingi lakini hatufanyi kazi za kutumia nguvu ili energy ilioko mwilini itumike ndo tupo katika hatar.