Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Kwa hiyo tule vyakula gani hasa?
Swali zuri, unatakiwa ule mlo kamili.Mlo kamili unaundwa na nutrients zifuatazo:
•carbohydrate
•protein
•lipids
•vitamins
•maji
•madini
-vyote kwapamoja huunda mlo kamili.Leo tumejadili kuusu carbohydrates next time tujadili kuusu protein na baada ya protein itafwa lipids n.k
 
Mbona pombe haijatajwa wakati mtu akiugua ugonjwa wa kisukari cha kwanza anaambia aache pombe?
 
Chanzo cha kisukari ni kutofanya mazoezi au kutoufanyisha mwili mazoezi. Kwa hiyo unataka watu wale nyasi?!
 
Chanzo cha kisukari ni kutofanya mazoezi au kutoufanyisha mwili mazoezi. Kwa hiyo unataka watu wale nyasi?!
Ukifanya mazoezi ndo umeufanyisha mwili mazoezi,na usipo toka jasho bado hujafanya zoezi.Kwahiyo zoezi mpaka utoke jasho.Kuusu kula tunashauriwa kula vyakula vyote vinavyo unda mlo kamili ila tusipendelee kula cha kula cha aina moja kila mlo.
 
Kama vyote vibaya tule nn sasa?hakuna atakayeishi milele muda ukifiki utaondoka haijalishi utaondoka vip
 
Ukifanya mazoezi ndo umeufanyisha mwili mazoezi,na usipo toka jasho bado hujafanya zoezi.Kwahiyo zoezi mpaka utoke jasho.Kuusu kula tunashauriwa kula vyakula vyote vinavyo unda mlo kamili ila tusipendelee kula cha kula cha aina moja kila mlo.
Staple foods zote ni carbohydrate! Mtama, ndizi, wali, ngano, mihogo, magimbi, viazi, ugali, ulezi, uwele n.k

Sasa hebu sema tusirudie rudie kwa maana ipi?
 
Reference ya nini kwa mfano au una maanisha haujui mahindi,viazi,muhogo,ngano,,,,au...
Wanamaanisha sehemu ulipoyatoa au kuyasoma haya uliyoyaandika labda uli-Google sehemu, ulisoma kitabu cha afya, au ulielezwa na mtaalamu wa afya, kwaiyo unayawekea funga na fungua semi maneno yake unaweka chanzo ili watu wakasome kusiwe na ubishi na ubabaishaji.
 
Sasa tusivile au?
Tunatakiwa kula aina zote za vyakula vinavyo unda mlo kamili,ila tusipendelee kula chakula cha aina moja tu kila mlo au kila siku.Mfano vya kula vya carbohydrates kila siku au kila mlo bila kuchnganya na vyakula vingine kama protein,maji,vitamins, lipids na madini alafu haufanyi mazoezi yanayotoa jasho sio nzur kiafy.
 
Nyie ndio mnaotafutwa kama mko katika Ofisi za UMMA . .

Inakuwaje mtu mzima unachanganya herufi "L" na "R" . . ?

Sukali . . ?! !!!
Safali . . ?!!!
Lijali . . ?! badala ya rijali . .

Hebu kwanza kajifunze lugha yetu vizuri ndio urudi hapa . . , mnaudhi sana nyie . . [emoji35]
 
Seifu Jafary,inaonekana moja kwa moja wewe ni mganga wa kienyeji ambae umekariri juju ugonjwa wa kisukari.Mada yako yako ya kisukari ingekuwa ni mtihani hakika ungeondoka na maksi sifuri pamoja na masikio yake.Tafadhali usiwadanye Watanzania na kuwachanganya.Ugonjwa wa kisukari haupo hivyo,nenda kwanza kasome shule acha kudanganya.
 
Maelezo yako yanakanganya inawezekana huna elimu hiyo ya ugonjwa wa kisukari au umeshindwa namna ya kuwasilisha ulichokusudia kutueleza
Mtu huyu ana elimu kama ya Makonda tuu . . , kama mtu Sukari anaiita Sukali . . , hana alijualo

Ni copy and paste tuu . ..
 
Reactions: OTG
Kwanza hata kuandika kiswahili fasaha huwezi badala yake unaandika Kizaramo.Hayo masomo magumu ya sayansi utayamudu vipi ikiwa lugha ya taifa huiwezi.Wakati mwingine ni bora kukaa kimya usubiri ugali wa jioni wa mkeo.
 
Nikasome mara ngapi,toa mawazo ulivyo soma na kuelewa kuusu nutrition na balanced diet.Na elimu uliyo nayo juu ya vyakula vya wanga na kisukari sio kuni face direct.Discuss the topic don't discuss some one else.Kama kuna point ambayo nimeielezea tofauti iweke wazi sio kuongea maneno mengi ambayo yapo out of topi.
 
Mimi hapo kwenye Asali nakuomba poo kubwa,maana nilikaririshwa kua Asali ni tiba nzuri,nimeacha kutumia vitu vya sukari natumia Asali,kumbe nayo ni hatari!wacha nife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…