Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Duuuh
 
Reference ya hizo source ndio imeulizwa sio maana ya hivyo vyakula. Ndio utaratibu wa uandishi.
 
Naamini ww ni mmojawapo wa ma Dr waliopo JF,mara nyingi ushauri wako huwa naufanyia kazi
 
Mm ni mtumiaji wa asali mzuri unanishaurije labda?
Tumia ila pia ngalia na chakula/mlo unaokula na shughuli unazofanya.Kama menu yako kwa kiasi kikubwa ni wanga jarib kupunguza matumizi ya asali au kula lakini fanya kazi za kutoa jasho (Physical exercise).Kama tena unatumia balanced diet hamna tatizo kaka hata ukila kila siku.
 
Unapingwa na watu wanaoujua huo ugonjwa,na mimi nakupinga kwa misingi hiyo hiyo kuwa huna ufahamu wa kutosha juu ya kisukari.
 
YOU GUY!! ACHA KUDANGANYA /KUPOTOSHA WATU!....
PLS ANYBODY SO LONG KAMA WEWE SIO DIABETIC YOU R FREE KULA CHAKULA YA SUKARI AS U CAN...
In short kisukari hakiletwi kwa kula vya sukari nyingi.
Diabetic kuu imegawanyika Mara 2...type1-inaanzia utotoni around 10yr-15 inasababishwa na kongosho(pancreas) kushindwa kutengeneza homoni ya insulin saba by ya kingamwili kushambulia seli zinazotengeneza insulin(islet of langahans).Tiba yake ni sindano ya insulin kila baada ya mlo.
Type 2-hii inaanza ukubwani yaani adult onset arnd 40yrs sababu unene(obesity) unafanya receptor za insulin kuwa sugu,kupungua kwa kiwango cha insulin inayotengenezwa na kongosho.
Aina zote mbili za sukari Mara nyingi huwa ni za kurithi ndani ya familia so hii in mojawapo pia ya sababu ukiongezea na risk factor kama obesity na nyinginezo,ni somo refu nemeeleza kwa kifupi tu hapo kumpinga huyu jamaa mpotoshaji.
 
Umeweza kuufupisha huu ugonjwa vizuri sana kungekuwa na uwezekano ningekupa like 20
 


Hapo sasa!!
 
Mmh! Mkuu umesoma wpi panapo onyesha Diabate type 1 na type 2 zote zinarithiwa?!. Nakusihi urudi ukasome upy na kama ulikariri rudia tena inaelekea ulikariri vibaya au kuja na reference.
 
Sasa tutaponea wapi?
Maana vyakula ulivyotaja ndo vinapatikana kila siku...
 
Hahahhahhaahha,atoe na vitu vya kula,kwa sababu vyote ndo vyakula vyetu vya kitanzaniaa
 
Sasa tutaponea wapi?
Maana vyakula ulivyotaja ndo vinapatikana kila siku...
Sijasema vyakula vya wanga visiliwe jamani naomba nieleweke,tunatakiwa kula tena kama ni ugali au wali piga sawa sawa kulingana na kazi unayo enda kufanya.Shida ni kula chakula cha wanga kila mlo.mfano asubuh umekula wanga tu,mchana unakula wanga tena na usiku unakula wanga (Wanga+wanga+wanga).Lakini asubuhi ukila wanga,maji labda na protein,mchana ukala wanga,maji,protein na vitamins na usiku ukala wanga,vitamin,lipids na protein.Au kama unajiweza unaweza kupata mlo kamili (wanga,protein,mafuta,vitamins,madini na maji) ni ruksa kupiga vyakula vyote kila mlo (asubuhi,mchana na jioni).
 
Naona watu wanatetea milo yao,sasa bro we unakula nini mshaur nasaha,manake unatuchanganya
 
Jomba msamehe kwa heading, nenda sasa kwenye content.

Pia hata Mimi nilitegemea kuwe na paragraphs [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha maisha ni changamoto.. Nimekumbuka Mzee mmoja akiwa KCMC sukari 20.., wachaga wakampikia "machalari" tens ya nyama ya mbuzi.. Mzee akala....so sad.......R.I.P.. Wakiambiwa wale kidogo hawaelewi ... Pole mkuu!
Wengi tunaangamia kwa kushindwa kufuata ushauri! Kisukari ni ugonjwa simple sana kukontroo kama ukifuata masharti...
Mara ya mwisho kuumwa ilikua na 27... Nikawa natumia metformin ndio ila nikabadilisha kabisa mlo...
Nikiamka asubuhi nakunywa chai isio na sukari na yai moja la kuchemsha.
Chakula changu kikawa mchemsho wa ndizi mbili, naweka mafuta ya alizeti kidogo sana, nyanya na kitunguu. Ntapika kabichi (vyovyote ntakavyopenda), mboga za majani kwa wingi au mchemsho wa samaki au kuku.
Nikisikia njaa au hamu ya kutafuna kitu nakula matango.
Baada ya wiki moja hali ilikua nzuri.

Vyakula vingine ni vitamu ndio ila ni vizuri kufuata masharti. Inakua ngumu kufanya mazoezi sukari ikiwa juu ila ikishuka mazoezi ni muhimu. Ata kutembea tu
 
Kama mgonjwa wako anataka kupona kabisa ugonjwa wake wa kisukari mimi ninazo dawa za kuweza kumponyesha kabisa kwa muda wasiku 60. Akitumia dawa zangu atapona kabisa kuliko kutumia Vidonge vya hospitali hawezi kupona ugonjwa wake wa kisukari. Ukihitaji dawa zangu nitafute kwa
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Kuna mzizi unamaji ambayo dumu la Lita 20 ukinywa baada ya siku kadhaa, sukari hushuka haraka na huweza kupona kabisa kabisa. Sms au piga 0762208190
 
Husika na kichwa hapo juu
Kisukari ni ugonjwa unaosababisha kiwango cha sukari kwenye damu kuzidi kiwango cha kawaida ambacho ni kati ya 70 - 100mg/dl (3.9 - 5.6mmol/l)

Kuna aina 4 za kisukari ambazo ni
i. Diabetes type 1
ii. Diabetes type 1.5 (pre-diabetes)
iii. Diabetes type 2
iv. Gestitional diabetes (kwa wajawazito)

Katika aina hizi nne za kisukari aina mbili ni maarufu zaidi ambazo ni diabetes type 1 & 2.

Diabetes type 1 inasababishwa na kongosho kutozalisha ama kuzalisha kiwango kidogo cha kichocheocha mwili kiitwacho insulin. Kichocheo hiki cha mwili husaidia kuruhusu sukari iingie kwenye seli kwa ajili ya uzalishaji wa nishati inayotusaidia kufanya yote tunayoyafanya.

Diabetes type 2 ainasababishwa na seli kutokuwa na muitikio juu ya Kichocheo cha insulin japokuwa Kichocheo hicho kinazalishwa kwa kiwango cha kutosha (insulin resistance).

Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosababishwa na usasa wa maisha ama (civilization/life style disease). Hivyo basi ukitaka kuutibu hauhitaji kutumia dawa za hospitalini hasa kwa diabetes type 2. Badala yake unatakiwa kupata ushauri juu ya mabadilliko unayotakiwa kuyafanya juu ya maisha yako ili kuepukana na insulin resistance na upungufu wa insulin. Kumbuka mpaka sasa tiba ya hospitali haijapatikana na haijapatikana kwa sababu tiba za hospitali zinatibu dalili za ugonjwa wa kisukari badala ya chanzo cha kisukari. Kumbuka kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu ni dalili ya kisukari siyo kisukari kama ilivyo kwa homa ni dalili ya malaria ila siyo malaria. Hivyo kusubiri tiba ya kisukari hospitalini ni sawa na kusubiri tiba ya ukimwi ama kansa.

Natoa ushauri kwa wagonjwa wa kisukari jinsi ya kuishi na kama utafuata ushauri basi utapona kabisa kisukari hasa type 2 na kupata nafuu kama siyo kupona kabisa kwa type 1. Kwasasa ninatoa ushauri bure kabisa kwa watu wa5 wa mwanzo maana moyo wa kuufatilia na kuujua ugonjwa wa kisukari niliupata hapa JamiiForums.

Kumbuka
Kwasasa silipishi mtu na nikianza kulipisha nitatoa tangazo. Natoa tangazo hili ili kuepusha dhana kuwa ninataka kuwapiga pesa watu watakao nitafuta
Mawasiliano: 0787-929718

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…