Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa SimbaAsante ila sijawa mkaidi@Zamiluni Zamiluni.
Juzi nilienda hospitali, katika kuchukua vipimo, dokta akaniambia nilikuwa nakaribia kupata ugonjwa wa kisukari, kwani alianiambia kwamba kipimo kilionyesha 18 badala ya 5,6 au 7 ambayo ni ya kawaida sana. Sasa akaniambia nibadili utaratibu wa kula na kunitaka kula wali na ugali kwa uachache sana huku mbogamboga na maji yakivipa nafasi kubwa, akasisitiza nitumie sana jamii ya maharage na samaki na tunda la tango. Na pia kuachana na sukari yenyewe na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
Miye nilikuwa mnywaji mzuri wa juice ya miwa, machungwa na juice ya tende ambayo imechanganywa na maziwa. Bahati mbaya sikumuuliza vitu kama tende na juice ya muwa inafaa tena?
Kama kuna mtu ana uelewa wa ulaji wa matunda naomba anifahamishe hapa, ninaamini na wenginen wataweza kupata taarifa na kuwa na uelewa jinsi ya kuepukana na ugonjwa huu ambao unawatafuna Watz wengi, natanguliza shukrani.

Hii video inatoa elimu na maarifa juu ya kisukari. Ifuatilie kwa makini.Mpendwa Simba
sijakusukusudia uwe mkaidi... ila nikujuze mapwma tu kuwa ugonjwa huu huleta ukaidi na ujenga hoja kuwa wewe ndiyo mwenye haki ktk kila jambo ( mwenye kisukari) hukaidi ushauri wa nje !! ( hii ni nature)
Nakuombea amani na afiya njema
Kisukari si tatizo katika upeo unaozungumziwa. Kisukari imegeuzwa biashara ya wauza madawa kama ilivyo kwa saratani.
Inategemea pia na sababu za awali zilizopelekea uwe na hali ya sukari ya juu kwenye damu (kisukari ). Mzazi wangu mmoja aliwahi kusumbuliwa na hilo tatizo ila mpaka Mara ya mwisho amepimwa sukari random sio fasting ilikuwa 7 na ya wastani miezi mitatu nyuma kipimo kilisoma 5. Daktari akawa anashangaa na kisha akauliza amewezaje.Juzi nilienda hospitali, katika kuchukua vipimo, dokta akaniambia nilikuwa nakaribia kupata ugonjwa wa kisukari, kwani alianiambia kwamba kipimo kilionyesha 18 badala ya 5,6 au 7 ambayo ni ya kawaida sana. Sasa akaniambia nibadili utaratibu wa kula na kunitaka kula wali na ugali kwa uachache sana huku mbogamboga na maji yakivipa nafasi kubwa, akasisitiza nitumie sana jamii ya maharage na samaki na tunda la tango. Na pia kuachana na sukari yenyewe na kufanya mazoezi ya mara kwa mara.
Miye nilikuwa mnywaji mzuri wa juice ya miwa, machungwa na juice ya tende ambayo imechanganywa na maziwa. Bahati mbaya sikumuuliza vitu kama tende na juice ya muwa inafaa tena?
Kama kuna mtu ana uelewa wa ulaji wa matunda naomba anifahamishe hapa, ninaamini na wenginen wataweza kupata taarifa na kuwa na uelewa jinsi ya kuepukana na ugonjwa huu ambao unawatafuna Watz wengi, natanguliza shukrani.
menu hii mbona ni kama ya kimiss!Hivyo vitu vyote vya sukari; tende, maziwa, miwa kwa sasa ungeacha, katika chakula chako kwa mfano wali kama utaweza kuweka vijiko 3/4 vya chakula kwenye sahani na vingine ikawa mchicha na mfano maharage, kimbia asubuhi au jioni kwa lisaa limoja, unaweza kuanza na dakika 20 na kuongeza mpaka zifike 60 lakini mazoezi, kunywa maji angalau lita 2 kwa siku na kupunguza vyakula vya wanga ni njia nzuri ya kucontrol sugar mwilini.
Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na under secretion ya insulin kazi ya insulin ni Ku convert excess sugar into Glycogen na kuhifadhi under muscles
Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na under secretion ya insulin kazi ya insulin ni Ku convert excess sugar into Glycogen na kuhifadhi under muscles
HII YA KUNYWA MAJI MARA KWA MARA inatafasirika vipi? Maana kuna watu tunakunywa maji sana ili kuweka mwili sawa. Na ukinywa maji sana maana yake ni kwamba utakojoa sana pia!Kunywa maji mara kwa mara,kukojoa mara kwa mara pia huitaji wa kinywaji cha sukari mfano unaweza ukawa unahitaji sprite mostly of the tym,then about chakula inategemea uko na sukari ya aina gani so its better ukaenda hospital for chekup il uwe aware mapema.