Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

1. Epuka vinywaji vyenye sukari nyingi baadala yake pendelea kunywa maji mengi au kahawa, kama ukinywa chai hakikish sukari siyo nyingi

2. Usipendelee kula nyama nyekundu na nyama zilizosindikwa baadala yake waweza kula samaki, kuku au mboga zingine

3. Kama ni mvutaji wa sigara, jaribu kuziepuka

4. Pendelea kufanya mazoezi na usiruhusu mwili wako ukae muda bila mazoezi

5. Mfumo wako wa chakula, angalia na aina ya mafuta unayotumia pia na vyakula vingine huwa chanzo cha tatizo hili
Kwa wale wanaojua njia nyingine pia ni vizuri kuziweka hapa faida ya watu wengi
Kisukari hakikubaliki!

Asante kwa kutukumbusha..!!
 
Jitahdi ucpate kitambi cha kizembe kwanza sio sifa kwa mwanume kuwa mnene man unatakiwa uwe tough and not a fat guy!

wanawake pia epuken unene uliokdhri hasa baada ya kujifungua
 
kwa mara ya kwanza kujijua kuwa nina sukari nilikwenda kucheki kipicho cha kawaida cha mkojo kujua kama ni mchafu au laa. Matokeo yake yule mpimaji alishangaa kuona nina shukari kubwa kupita maelezo. kipimo kilionyesha ipo juu sana zaidi ya 35. kwani kipimo kilikuwa kinatoa alarm. wakati sukari ya kawaida kipomo kinapaswa kionyeshe kati ya 4 hadi 6,7.

yule dockata baada ya kunihoji alinambia kuwa nilipaswa kulazwa ili waniflash, lakini akanipatia dawa ya kuflash na kunishambia nirudoi siku iliyofaya ili nianze cliniki ya sukari. hata hivyo rafiki angu mmoja ambae nae ni dokta nilipompa habari alinishauri nisianze kutumia dawa nilizopewa bali nitafuteMAGOME YA MZAMBARAU nichemshe na kuja glass mara mbili kwa siku. pamoja hiyo nifanye mazoezi ya kutoa jasho walau kwa dkk 30. Ni mwaka wa pili sasa nashukuru roho yangu kuwa imepambana na matamanio ya nafsi. nimeacha yote tuliyoelekezwa na Kibo10 na kwa sasa naendelea na mazoezi. nashauri ya usiku usiku yanatoa jasho kwa wingi zaidi.
 
Kweli mkuu ila wakiona papuchi na dushelele wote wanakuja hili ni tatizo
Lazima watu wabadilike kiongozi

Hahahahaaaaa JF ilikua hapo zamani, huwezi amini hadi sasa hakuna watu at least kumi waliofika hapa
 
1. Epuka vinywaji vyenye sukari nyingi baadala yake pendelea kunywa maji mengi au kahawa, kama ukinywa chai hakikish sukari siyo nyingi

2. Usipendelee kula nyama nyekundu na nyama zilizosindikwa baadala yake waweza kula samaki, kuku au mboga zingine

3. Kama ni mvutaji wa sigara, jaribu kuziepuka

4. Pendelea kufanya mazoezi na usiruhusu mwili wako ukae muda bila mazoezi

5. Mfumo wako wa chakula, angalia na aina ya mafuta unayotumia pia na vyakula vingine huwa chanzo cha tatizo hili
Kwa wale wanaojua njia nyingine pia ni vizuri kuziweka hapa faida ya watu wengi
Kisukari hakikubaliki!

Dah ebana nipo kwenye danger zone
 
Mkuu vipi diet soda na yale maji ya dhahabu kutoka pale Mchikichini je ni ruhusa kuyatumia au?
 
Pombe ndio culprit number one.

Hata soda kwa wanawake walio wengi ndiyo inawaangamiza hasa wasiotumia kilevi.

Hii inawagusa wanaume wengi wasiotumia kilevi pia.

Inafika mahali mtu anakunywa soda 2 na kuendelea kila siku kuanzia j3 hadi ijumaa anapokua ofisini.
 
Nyama nyekundu na mazoezi yangu ya Gym ni kama samaki na maji.

Pia samaki wa kopo hasa tuna chunks na sardines
 
Nimewahi sikia kisukari ni genetic inherited disease....na hata ugali na wali sana huleta kisukari
 
Ni kwa neema tu unaweza jikinga na vyote hvyo naukaishia kivipata. Ila just to be safe than sorry ni ushauri wa kuzingatia
 
Nimeshaanza kuchukua hatua, maana naona sasa naikaribia 40.

  1. Nimeachana na matumizi ya sukari kwa kiasi kikubwa na sasa natumia asali.
  2. Situmii bia wala sigara, ila pia nimeacha matumizi ya Soda
  3. Nimeacha red meet yaani ng'ombe na mbuzi. Kiti moto situmii
  4. Nimeachana na ulaji wa kuku wa kisasa nimespecialize kwenye kuku wa kienyeji na samaki
  5. Nafikria pia kuachana na ugegedaji ......hahahahhaa (HII NI UTANI AKINA Evelyn Salt wasije wakanimind
 
Last edited by a moderator:
1. kuwa more active physically (excuse my swanglish)...wale mnaotumia gari hadi kwenda gengeni hii inawahusu.

2. na wale watu wangu wa punyeto amini usiamini over masturbation inaweza ikawaletea kisukari. google to find out the science behind this
 
Ilmu mujarab sana wadau. Ninaifanyia kazi kuanzia sasa hivi. Ahsante mleta thread.
 
Back
Top Bottom