Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati wa tendo na ivyo kusababisha mahusiano yaishie ICU.
Nani wa alaumiwe kwa haya na nini kifanyike kuondoa tatizo hili?