Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

Gospel KTV

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2025
Posts
343
Reaction score
493
Wakuu habari,

Nina iPhone 14 ambayo imeacha kuchaji kabisa. Nikiweka cable kwenye charging port haichaji kabisa. Nimejaribu njia zote lakini bado haichaji.

Kwa wenye uzoefu na iPhone 14, tatizo kama hili linaweza kuwa nini?

Naomba msaada hasa kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili na jinsi lilivyotatuliwa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom