Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.
Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao.
Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na wadwanzi wenye chembechembe ya udikteta kama ilivyo Sekta ya ujenzi.
Nishati ni Sekta inayogusa moja kwa moja usalama wa Taifa na kwayo haiwapasi Viongozi wazembe kuihudumu.
Kuendelea kuwa na kiongozi aina ya January kwenye Sekta yetu ya nishati hakika ni sawa na kwamba tumeridhia kuumia.
Shime mheshimiwa Rais Samia hujachelewa bado,tuondolee January pale nishati na tupe mtu mwenye uthubutu wa haja.
NB: January ni sawa na kibuyu hata kikibebwa vipi mwisho kitapasuka tu.