Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.

Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao.

Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na wadwanzi wenye chembechembe ya udikteta kama ilivyo Sekta ya ujenzi.

Nishati ni Sekta inayogusa moja kwa moja usalama wa Taifa na kwayo haiwapasi Viongozi wazembe kuihudumu.

Kuendelea kuwa na kiongozi aina ya January kwenye Sekta yetu ya nishati hakika ni sawa na kwamba tumeridhia kuumia.

Shime mheshimiwa Rais Samia hujachelewa bado,tuondolee January pale nishati na tupe mtu mwenye uthubutu wa haja.

NB: January ni sawa na kibuyu hata kikibebwa vipi mwisho kitapasuka tu.
Mgao wa Umeme unakuja tena sijui lini unaanza. ?
 
Kwenye 10% unaanzaje kua mgumu da Suzy!
10% za Nishati na Madini sio kinyonge mzee baba, yani kote vibunda virefu 😂😂😂 wazee wa Barrick wakifunguka pamoja na GGM zinachomoka B za kutosha! Ukija kwenye fungu la Mradi pass ya upendo toka kwa Lameki kwenye 1OOB wahuni wanaishi na 6OB alba iliobaki ndio inaenda SGR unafikiri mradi utaisha vipi mapema.
 
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.

Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao.

Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na wadwanzi wenye chembechembe ya udikteta kama ilivyo Sekta ya ujenzi.

Nishati ni Sekta inayogusa moja kwa moja usalama wa Taifa na kwayo haiwapasi Viongozi wazembe kuihudumu.

Kuendelea kuwa na kiongozi aina ya January kwenye Sekta yetu ya nishati hakika ni sawa na kwamba tumeridhia kuumia.

Shime mheshimiwa Rais Samia hujachelewa bado,tuondolee January pale nishati na tupe mtu mwenye uthubutu wa haja.

NB: January ni sawa na kibuyu hata kikibebwa vipi mwisho kitapasuka tu.
Unataka uwe wewe Ili tuone utakavyokomaa na ndita Ili umeme usikatike?

Jitokeze hadharani Ili usaini kwa wino mwekundu.
 
"Nimekuwa nikilisema na narudia kulisema Jambo hili,muacheni Mwanangu January Makamba afanye kazi yake kwa uzuri zaidi"
Ningali nawatazama kwa jicho langu legevu,na nimemuagiza Mwanangu IGP Wambura pamoja na Mwanangu Jumanne Kingai na timu yao walitizame hili suala la kunyanyaswa wanangu Nape, Mwigulu na Ridhiwan kwa karibu zaidi"
 
Back
Top Bottom