Chris makini
Member
- Jun 1, 2023
- 13
- 3
Nina tatizo kama hilo na nimefanya mri ya kichwa na shingo na ct scan kwa nyakati tofauti lakini hakuna tatizo basi huenda nami nina shida hiyo ya masikio.Tatizo Fulani la masikio huwa linaleta body imbalance, hana tatizo la masikio?
Asante kwa ushauri wakoPole ila nenda hospital kwa uchunguz zaid
Tatizo la masikio mkuuTatizo Fulani la masikio huwa linaleta body imbalance, hana tatizo la masikio?
Unaweza kugugo symptoms za brain tumour ukahisi ndio tayari imo, kumbe sio. Daktari gugo ni hatari kwa afya.Nadhani kwa hakika zaidi ungeenda hospitali.
Japo vertigo huwa na dalili za uzito wa kichwa pia.
Hakuna daktari mbaya kama mtandao. Unaweza google symptoms za mafua na ukaambiwa una cancer.
Kabisa.Unaweza kugugo symptoms za brain tumour ukahisi ndio tayari imo, kumbe sio. Daktari gugo ni hatari kwa afya.
Habari ndugu Wana jf.
Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa kizito sehemu ya nyuma na kuhisi kizunguzungu nyakati fulani ivi na pia kuwa wakati kichwa kinamuuma upande moja kwa muda then baadae upande mwingine hivyo tunaomba ufafanuzi juu ya tatizo hili kwa alie na uzoefu wa changamoto hii wadau, asanteni sana.
unapoona mashine hazioni tatizo na wewe unajiona unaumwa jaribu tiba asili au tiba mbadala usikate tamaaNina tatizo kama hilo na nimefanya mri ya kichwa na shingo na ct scan kwa nyakati tofauti lakini hakuna tatizo basi huenda nami nina shida hiyo ya masikio.
Asante kwa ushauri itanibidi nifuate kama ulivyosema mkuu tatizo lisipo onekana nitafuata tiba asili omoyoKizunguzungu mara nyingi huchangiwa na upungufu wa damu, kama anasikia kichwa kizito kwa nyuma means kuna occipital intracranial pressure pengine kuna haemoqhage mahali fulani na hii changamoto ni ngumu kuipima kwa macho au mtandaoni cha muhimu aende hospitali kwaajili ya uchunguzi zaidi ila endapo ikibainika hawaoni tatizo lolote tafuta msaada wa tiba asili popote
Asante sana Mzizi mkavu nitazingatia hilooKwa Wale Wenzangu Wanaumwa na Maradhi ya Kichwa Hebu jiangalie Jinsi Kichwa Chako kianavyo Uma.
UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA.
UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE USINGIZI WA KUTOSHA.
UKIUMWA NA KICHWA KWA NYUMA KISOGONI INAONYESHA KUWA UPATE MUDA WA KUTOSHA WA KUPUMZIKA