Haya ni mawazo yako...
Kuna tafiti zimeshafanywa, consumption kubwa ya white rice ni chanzo cha ugonjwa wa kisukari aina ya pili "type 2 diabetes"
Mkuu dunia ya Leo hamna chakula kisichohusishwa na ugonjwa fulani mwisho mtasema tuache kula kabisa, lakini pia mwili unahitaji kila aina ya nutrients hata zinazopatikana kwa white rice cha muhimu ni kubalance diet kwa chochote kile ulacho bila kusahau mazoezi
Wali ndondo pamoja na kisamvu kilicholala,weeee!
wacha mkuu kisamvu cha jana na kiporo cha wali ni balaa!......dah hapo tusameheane sintokiacha abadan
Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.
Msisahau pia kuachana na hizo juice za kopo, chupa, box etc ni soo!!
Nunua fresh fruits kisha tengeneza juice kama wataka kunywa juice.
Hata ugali usile sanaaa. No pizza, hotdogs, hamburgers, ice cream, Noah, beers, fried meat, french fries, chips mayai
Mazoezi muhimu sana
Just eat healthy foods. Hujakatazwa kula wali mweupe, mara moja au mbili kwa Mwezi sio mbaya. Lakini usile kila siku.
We kula jani tuu si lazma tembele..hata bangi kama unaweza kuipika vizuri πππ
Utaratibu mgum, kuacha wali umesema?
Tumia brown rice
Mkuu MZIZI MKAVU ni mwenye weledi wa hali ya juu ktk mambo haya. Ngoja tumsubiri najua atakuja kutoa somo. Nakubaliana na wewe kuhusu kula wali usiku. Mimi binafsi toka utotoni mchana twala ugali jioni twala wali ama chapati na kila ijumaa ni pilau ama biriani. Iliniwia vigumu sana kuachana na wali lakini nashukuru, baada ya kuwa makini na vyakula ninavyokula na kuzingatia mazoezi, alhamdulillahi I'm in good shape na kitambi kimepotea and I feel pretty good about my bodyMara moja ua mbili kwa mwezi? hii inawezekana? Mkuu SHERRIF ARPAIO wali ndio mlo mkuu kwa jamii kubwa ya watanzania hasa usiku, familia nyingi zinapenda kula wali usiku, na watoto wanavyoupenda wali sasa halafu eti tule mara moja au mbili kwa mwezi!
Vipi ulaji wa tambi, chapati?
hivi inawezekana mtu akaish kwa Matunda wiki 2 bila kula chakula chochote? namaanish yani anakula matunda anashiba , asubuh , mchana na usiku, na hali chakula kingine kwa hizo wiki 2.Mkuu MZIZI MKAVU ni mwenye weledi wa hali ya juu ktk mambo haya. Ngoja tumsubiri najua atakuja kutoa somo. Nakubaliana na wewe kuhusu kula wali usiku. Mimi binafsi toka utotoni mchana twala ugali jioni twala wali ama chapati na kila ijumaa ni pilau ama biriani. Iliniwia vigumu sana kuachana na wali lakini nashukuru, baada ya kuwa makini na vyakula ninavyokula na kuzingatia mazoezi, alhamdulillahi I'm in good shape na kitambi kimepotea and I feel pretty good about my body
Kama mbwai mbwai tu. Wali ndondo zilizoungwa na nazi siachi aisee.wacha mkuu kisamvu cha jana na kiporo cha wali ni balaa!......dah hapo tusameheane sintokiacha abadan