Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Haya ni mawazo yako...
Kuna tafiti zimeshafanywa, consumption kubwa ya white rice ni chanzo cha ugonjwa wa kisukari aina ya pili "type 2 diabetes"
Mkuu dunia ya Leo hamna chakula kisichohusishwa na ugonjwa fulani mwisho mtasema tuache kula kabisa, lakini pia mwili unahitaji kila aina ya nutrients hata zinazopatikana kwa white rice cha muhimu ni kubalance diet kwa chochote kile ulacho bila kusahau mazoezi