Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kitu ambacho watu wengi tumekuwa tukifichwa ni kwamba Wali sio mzuri kwa watu tunaotaka kupunguza kitambi au kupunguza uzito kwasababu zifuatazo.

1. Wali una sukari ambayo ikienda mwilini inakuwa kama mafuta ya energy. Mafuta haya yakiwa mengi na haitaji kutumika yanawekwa kwenye store! ambayo ni tumbo na hips.
2. Wali ukifika tumboni una umuka hivyo unafanya tumbo liwe kubwa
3. Wali unazuia system ya mwili kufanya kazi vizuri hasa kwenye choo. Hivyo uchafu mwingi unabaki mwilini na kusababisha njia za utumbo kuwa ndogo. Ndiyo maana una pata choo kidogo ukila wali sana
Ndiyo maana watu wenye kisukari wanaambiwa wasile wali na kama unataka kupunguza uzito haraka acha kabisa wali.
 
Mi buwa nafuatilia sana ushauri km huu ila mara nyingi wadau mnatoaga ushauri bila kutoa option ...km ulivyosema tusile wali ungepaswa kusema tule chakula gn? kingine kinachofaa badala ya wali
 
Mkuu kwani maisha yako yote ya mlo yameghubikwa na mlo wa wali tu?

Mbadala ni kwamba kula vyakula vinginevyo ulavyo siku zote kama magimbi, viazi n.k

Mi buwa nafuatilia sana ushauri km huu ila mara nyingi wadau mnatoaga ushauri bila kutoa option ...km ulivyosema tusile wali ungepaswa kusema tule chakula gn? kingine kinachofaa badala ya wali
 
Labda kama unamaanisha ulaji wali mkavu, teh, lkn wali samaki/wali maharagwe/wali roast hakunaga vyaivyo.
 
Tatizo ni moja tu watu hawapendi mazoezi, kula chochote kwa wastani na fanya mazoezi utakua in shape
 
Mi buwa nafuatilia sana ushauri km huu ila mara nyingi wadau mnatoaga ushauri bila kutoa option ...km ulivyosema tusile wali ungepaswa kusema tule chakula gn? kingine kinachofaa badala ya wali

Tumia brown rice
 
Daah!!! Hivi humu jf kuna mtu anayeweza kukemea pepo la wali maharagwe jamani!?! Vinginevyo kitambi kitanimaliza mwenzenu.....

Ha ha haha. Na asubuhi tunaanza na vitumbua vya bi Mwajei, mchana biriani na usiku tunamaliza na wali ndondo
 
kwa hiyo vimbao-mbao wakila WALI watapata HIPSIIII,
WALI == HIPSy
 
Tatizo ni moja tu watu hawapendi mazoezi, kula chochote kwa wastani na fanya mazoezi utakua in shape

Haya ni mawazo yako...

Kuna tafiti zimeshafanywa, consumption kubwa ya white rice ni chanzo cha ugonjwa wa kisukari aina ya pili "type 2 diabetes"
 
Kama wataka kuondoa kitambi basi punguza kula carbs/starch e.g wali mweupe, beers etc

Brown rice hauna carbs? Maana niliona juu ulisema alternative ya wali ni brown rice ambayo ni sawa na kusema badala ya sembe wale dona.

Tupunguze nafaka kwa ujumla tuongeze greens na matunda.

Kuna uzi The Boss ameomba menu ya juma zima isiyo na ngano, mahindi na mchele, nafikiri yaweza kutusaidia tukipunguza frying lkn tukakimbilia kucgemsha na kuchoma of course na kupunguza sukari.
 
Last edited by a moderator:

Remember there are good and bad carbs!!!!
Check online or consult a nutritionist/dietian and you will get more details about brown rice
 
Last edited by a moderator:
Dada, brown rice ina fibres. Unashiba haraka na unapata less carbs. Binafsi napenda na natumia brown rice. Dietician anashauri a cup size kwa mlo inatosha, na moto iwe kubakisha wali badala ya mboga.

Back
Top Bottom