Sidehams chorea hiyo. Aende hospital akatibiwe. Ingawa wanaweza wakasema hana shida. But this is a very common complications ya Rheumatic fever.Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si kifafa. Akianguka inakuwa kama vile kapatwa na kizuguzungu,lakini akirudi katika hali yake,anakuwa hakumbuki kama hali hiyo imemtokea.
Kwa yeyote anayejua mtu wa kusaidia,tafadhali naomba tuwasiliane inbox. Kila tulipojaribu wanadai watatibu,wanaishia tu kula pesa basi.
Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.

Bro/sis; ni kweli alienda akapimwa,lakini akaambiwa hana tatizo.Sidehams chorea hiyo. Aende hospital akatibiwe. Ingawa wanaweza wakasema hana shida. But this is a very common complications ya Rheumatic fever.
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu. Hiyo kitu ilifanyika matokeo yakaonyesha hana tatizo. Mpaka tunafikia hatua ya kutafutia kwa wale madoctor wa vijijini,tulihangaika sana,tena sanaAfanye CT SCAN ya kichwani, atakua na kovu huyo kwenye ubongo, kabla ya hili tatizo ukute kuna sehemu alipigisha kichwa akaona amepona ila kumbe lilileta athari kwenye ubongo ikaweka kovu, ambalo kuna mda linakata mawasiliano....
Shukrani kwa wote mliotoa maono. Hii issue ilimtokea miezi 3 baada ya kujifungua. Leo hii hospitali zote walichokifanya,wamempa dawa za kifafa. Hapa,ni kwamba kuanguka kwake,hudodonka taratibu kiasi kwamba hajawahi kuumia. Sema tu baada ya miaka 3 tangu augue,aliwahi kuanguka jikoni na akaungua.
Hiyo hali ikimtokea,haelewi chochote. Hata umfinye,haumii. Hata haichukui mda kuisha. Wakati mwingine akiwa na kitu mkononi,utaona tu ameachia,akiwa amekaa kwenye kiti,hasa cha plastic,utaona kajiegesha,hadondoki. Na badae kama dakika 10-15 au 20, akili zinarudi. Ukimuuliza,anakumbuka vizuri alichokuwa anafanya kabla ya kuanguka. Na anakwambia mwili mzima unakuwa umelegea sana,anajihisi uchovu wa hali ya juu. Lakini hapo hapo maisha ataendelea. Akianguka,povu,kujikojolea, hapana.
hii hali imeshawahi kunitokea kama mara tatu ila ilikuja ikaacha yenyewe nadhani ilisababishwa na stress kuzidi naona toka nimeweza ku-handle stress na kupuuza baadhi ya mambo akilini ndo hiyo kitu imeacha.Shukrani kwa wote mliotoa maono. Hii issue ilimtokea miezi 3 baada ya kujifungua. Leo hii hospitali zote walichokifanya,wamempa dawa za kifafa. Hapa,ni kwamba kuanguka kwake,hudodonka taratibu kiasi kwamba hajawahi kuumia. Sema tu baada ya miaka 3 tangu augue,aliwahi kuanguka jikoni na akaungua.
Hiyo hali ikimtokea,haelewi chochote. Hata umfinye,haumii. Hata haichukui mda kuisha. Wakati mwingine akiwa na kitu mkononi,utaona tu ameachia,akiwa amekaa kwenye kiti,hasa cha plastic,utaona kajiegesha,hadondoki. Na badae kama dakika 10-15 au 20, akili zinarudi. Ukimuuliza,anakumbuka vizuri alichokuwa anafanya kabla ya kuanguka. Na anakwambia mwili mzima unakuwa umelegea sana,anajihisi uchovu wa hali ya juu. Lakini hapo hapo maisha ataendelea. Akianguka,povu,kujikojolea, hapana.
Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si kifafa. Akianguka inakuwa kama vile kapatwa na kizuguzungu,lakini akirudi katika hali yake,anakuwa hakumbuki kama hali hiyo imemtokea.
Kwa yeyote anayejua mtu wa kusaidia,tafadhali naomba tuwasiliane inbox. Kila tulipojaribu wanadai watatibu,wanaishia tu kula pesa basi.
Hahahaha kaka,umelowaaa! Labda usipost au nisione. Huna namna. Zinguuka weee,mwishowe utadinywaLazima uanguke tu kwa wanaume ulotembea nao we malaya
Atakuwa ama anasumbuliwa na High Blood Pressure au ana upungufu mkubwa sana wa haemoglobin kwenye damu. Mpeleke kwa dakari haraka sana usije ukampotezaNi tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si kifafa. Akianguka inakuwa kama vile kapatwa na kizuguzungu,lakini akirudi katika hali yake,anakuwa hakumbuki kama hali hiyo imemtokea.
Kwa yeyote anayejua mtu wa kusaidia,tafadhali naomba tuwasiliane inbox. Kila tulipojaribu wanadai watatibu,wanaishia tu kula pesa basi.
Hayo yalifanyika na hayakuzaa matunda broAtakuwa ama anasumbuliwa na High Blood Pressure au ana upungufu mkubwa sana wa haemoglobin kwenye damu. Mpeleke kwa dakari haraka sana usije ukampoteza
Hahahaha kaka,umelowaaa! Labda usipost au nisione. Huna namna. Zinguuka weee,mwishowe utadinywa
Natamani nikutandike UKUNIUache kulala na wanume mapepo lazima yakushike
Nataka niyahamishie kwa kenge maana kwa wanaume imetosha sasa.Uache kulala na wanume mapepo lazima yakushike