Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Aahaaaaaaa Shemeji Mpwayungu Village njoo uone hukuChangieni nyie ndio wanufaika wa sensa na usimamizi wa uchaguzi ndani ya TanzakizaView attachment 2639375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaaaa Shemeji Mpwayungu Village njoo uone hukuChangieni nyie ndio wanufaika wa sensa na usimamizi wa uchaguzi ndani ya TanzakizaView attachment 2639375
siyo walimu tu.. ni wafanyakazi wa halmashauri, walio chini ya Mkurugenzi wakiwepo wauguzi , madaktari mpaka madereva.
Sasa ukilalamika sana mwalimu itaonekana walimu walalamishi, na itaonekana unataka hiyo michango iondolewe kwa walimu tu..
hoja ya ku discuss hapa
1 . Nini umuhimu wa mwenge kwa kizazi cha leo.?
2. je ni kweli mwenge ni zindiko la nchi, kana kwamba hata CHAUMA wakiingia madarakani hawawezi kuugusa .. si umeona Jiwe, shujaaa. aliona bora afute hata ajira za ualimu lakini hajawahi gusa gharama za mwenge.
soma kuhusu F.Ganze Masta mchawi wa Taifa.
3. vipi kama kuna CAG, kuna viongozi , kwa nini hasa mwenge uzindue miradi?
Mi naona mwenge ni kama sherehe flani za kitaifa, ni kama Carnival festival za kule Brazil, ama ma dragon ya kule china. sema wabongo wengi tuna potezea...
NYONGEZA. NJE YA MADA KIDOGO.
Njiani porini huko ni kweli mwenge huwa una zimwa ku save wese?
baada ya kukimbiza mwenge hawa wakimbizaji huwa "wanapotea"?