Tatizo la kuchukiwa kazini

Tatizo la kuchukiwa kazini

Nimewaza kama watanzania waliowengi kwamba kuna mambo ya kiroho hayako sawa, ila kwa ushauri wangu jitahidi kuwa serious uwe unaongea mara chache sana.
Itoe akili yako huko unakowaza unachukiwa, kuwa mtu mwenye ratiba nzuri huku ukifocus na kilichokupeleka hapo ulipo.
Hii ni kweli usiongee na mtu mambo binafsi
 
Ensure that those above you always feel superior. But don't overdo it when trying to impress or please them, or you'll inadvertently make them feel insecure and you'll suffer the backlash. Go out of your way to make your bosses look better and feel smarter than anyone else
 
Inawezekana hakuna hata anayekuchukia, ni wewe tu unajishtukia. Ukipewa majukumu, unahisi unachukiwa.

Kuna watu maofisini hawana muda wa kumchukia mtu. Kwanini udhani watu wanakuchukia?

Labda utuambie kwanini unaona hao watu wanakuchukia..
 
Kuwa neutral, Kuna sehemu huwa najifanya msela msela, muda mwingine mpole na mchamungu, muda mwingine muhuni Tu yaani inafikia kipindi mtu ukimwambia Nina degree mbili za fani tofauti anakataa kabisa.....juzi juzi TU nilikuwa sehemu nimekaa na wahuni tunakunywa visungura na Mimi ndio mnunuaji kwa sababu unakuta asilimia kubwa ya wahuni HAWANA pesa......nitaendelea baadae
Sure
Usipende mazoe sana ukiwa kazini timiza majuku yako kwa ufanisi pita hivi, usipende kujifunua kwa watu! Heshimu kila mtu wa juu yako na wachini yako.
Pia usichukulie vitu too personal unapo kosolewa sababu ni part ya kujifunza ukiwa bado unaishi.
kuna muda inabidi uishi kama hauna kichwa as long as unapata kilicho kupeleka hapo.
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Ji
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu

Jikabidhi kwa MUNGU wako
 
Inawezekana hakuna hata anyekuchukia, ni wewe tu unajishtukia. Ukipewa majukumu, unahisi unachukiwa.

Kuna watu maofisini hawana muda wa kumchukia mtu. Kwanini udhani watu wanakuchukia?

Labda utuambje kwanini unaona hao watu wanakuchukia..
Mkuu Mimi sio mtoto mdogo nisijue upendo na chuki
Kitu Cha kwanza ninachihisi kuchukiwa ni kusengenywa bila sababu
Cha pili boss kunitishia kuniachisha kazi tena haniambii direct anawaambia watu wengine
Tatu kutopewa vitu ambavyo wafanyakazi wenzangu wanapewa kama off days, overtime na vitu vingine Kama mfanyakazi
Kutafutiwa makosa yasiyo ya maana
Na mwisho kabisa kutokupewa priority yoyote kazini yaani kudharauliwa
 
Kwasasa jamii yetu inaendeshwa na culture au utamaduni wa Uamsho yaani "Woke culture". Watu wa hivi huwa wanatumia zaidi hisia badala ya logic.

Anaweza kukumind kwa kunywa chai pekee yako na kukubrand mchoyo kwasababu anajiskia hivyo na sio kwasababu wewe ni mchoyo kweli. Lakini pia anaweza kukumind kwasababu unahimiza kunywa chai pamoja na kusema mbona unapangia watu maisha. Hii ndio shida ya hii jamii ya sasa yenye mlengo wa kushoto au Uamsho.

Ukiwa maeneo ya kazi watakufosi uende kwa nadharia na mitazamo yao hata kama haina tija. Wanaweza anzisha utaratibu wa kuchangishana kwaajiri ya kuwezeshana wewe ukawa hauna shida na huo utaratibu wao wakakubrand wewe ni outcast au msaliti na ukashangaa umepata msiba au shida wasijitoe kukuchangia.

Wanaweza kukumind kwasababu unajipenda na kufanya maisha yako kwa mpangilio. Mfano unaweza nunua gari yako hata kwa mkopo wakazusha umeiba hela kazini,ukisha waprove wrong wakajua ulikopa wataanza kukusambazia siri za mkopo wako kwa watu wengine "Usione anaringa na gari hiyo amekopa muda wowote inaweza chukuliwa akishindwa kupeleka marejesho". Ukimaliza mkopo salama wanajiskia vibaya wataanza kukutafuta kwingine,mara wakuombe gari kwa matumizi yao binafsi au kiofisi ukatae waseme unaroho mbaya.
 
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.

Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?

Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.

Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.

Natanguliza shukran zangu
Kaogee maji ya bahari kama hakuna bahari ulipo tumia/ogea chumvi ya mawe kwa siku saba.
 
Back
Top Bottom