Mtembeze mitaani achekwe na watoto kwa ule wimbo wa kikojozi huku amevalishwa gunia. Ataacha.
jitahidi jioni asinywe vitu vya maji maji kuanzia saa kumi na mbili juice,soda,chai
Kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina.Mie nliwah kuskia maji yale unayooshea mchele ni dawa ya vikojozi ila sina uhakika...
Habibty Angel Nylon Mrs Kharusy mwajua hili?
Tupo tu tunahangaika na maisha ya Ughaibuni kumekuwa kugumu upatikanaji wa pesa lakini tunashukuru Mwenyeezi Mungu Tu wazima vipi na wewe huko uliko?I am safe and sound Dr, and how have you been Sir? Thanks for asking Sir.
Tupo tu tunahangaika na maisha ya Ughaibuni kumekuwa kugumu upatikanaji wa pesa lakini tunashukuru Mwenyeezi Mungu Tu wazima vipi na wewe huko uliko?
Ni kweli lakini bado kimaendeleo Umeme bado wa mgao Maji safi mijini mpaka vijijini hakuna dawa na vifaa vya kisasa hakuna Mahospitalini ukiumwa unachungulia kaburi au mpaka upelekwe nchini india jitahidini kuweka uchumi wa nchi ili uwe sawa chaguweeni viongozi bora wanaopenda Maendeleo ya nchi mutafanikiwa. Mkuu BAKHuku Mfaranyaki Bomba tu hata ukiuza mahindi ya kuchoma na firigisi za kukaanga hukosi ngawira za kujidai MUJINI Mkuu.
Ni kweli lakini bado kimaendeleo Umeme bado wa mgao Maji safi mijini mpaka vijijini hakuna dawa na vifaa vya kisasa hakuna Mahospitalini ukiumwa unachungulia kaburi au mpaka upelekwe nchini india jitahidini kuweka uchumi wa nchi ili uwe sawa chaguweeni viongozi bora wanaopenda Maendeleo ya nchi mutafanikiwa. Mkuu BAK
Kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina
Kwani Shetani anapata faida gani kumdhuru binadamu? mama mkwe wangu unauliza jibu wakati kwenu Unguja Mashetani kila mahali yapo? Unaniabisha Mama Mkwe wangu farkhina Ama kweli Waswahili wamesema kwenye Miti hakuna wajenzi. Shetani amekula kiapo wakati alipofukuzwa Peponi kuwa atawaangamiza Watoto wa Adamu huna habari wewe? Kwani Aduwi mkubwa wa binadamu ni nani?Mmmh mkwe shetani na kukojoa tena? Mbona havina uhusiano huyo shetani anapata faida gani kumfanya mtoto awe kikojozi?
Dr MziziMkavu unaitwa huku uje kutoa msaada. Jitahidi baada ya saa 12 jioni asinywe maji na kabla ya kupanda kitandani hakikisha anaenda kukojoa nawe ujitahidi usichelewe kumuamsha hiyo saa uliyopanga kumuamsha.
Mkuu King'asti; Nimeshatowa Dawa nyingi watu hawarudishi majibu yaani (Feedback) matokeo yake wasipopona wanakuja kuanzisha Thread ya kunialumu Kwani Mimi ni mponyeshaji? Mwenyeezi Mungu peke yake ndio anaye waponyesha viumbe wake mimi inapita sababu nimekupa dawa ndio umepona. Sasa sitatowa Dawa bure bila ya kulipa gharama za dawa sitoweza kutowa bure imepitwa na wakati.Nimejifunza kutokana na Makosa.Hivi ile dawa ya pembe la ng'ombe haikuwa inatibu hii kitu?
Nataka kuanza practice, dr MziziMkavu siku hizi anachimbwa dawa.
Akiwa ana kiu je asinywe maji kisa atakojoa. Wengi wao kukojoa kitandani ni maradhi hata ale au anywe nini anakojoa tu
kutokana na huyo mtoto umri wake wa miaka 11 hawezi kupona kwa kunywa maji ya mchele . Huyo mtoto anaye shetani ndio anaye msababisha kukojowa kitandani na dawa za Hospitali hawezi kupona hata iweje. Anachotakiwa atolewe huyo shetani ndie anaweza kupona farkhina