Tunadumisha MilaKwenye kabila letu, mara nyingi,
Unachukua kipolo cha ugali, ana kikojolea, kisha anakila... Fanya kila siku hadi atakapoacha kojoa.
..
Hii hata kama ni mtu mzm ataacha kukojoa.
Dah...hizi tiba zingine sasa!![emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye kabila letu, mara nyingi,
Unachukua kipolo cha ugali, ana kikojolea, kisha anakila... Fanya kila siku hadi atakapoacha kojoa.
..
Hii hata kama ni mtu mzm ataacha kukojoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,atakua anajitune asijikojolee ili kuepa kula kipora chenye mkojo
Kabisa mkuuTunadumisha Mila
Mila Nzuri Lazima Tunaendelea Kuzitumia Hadi Kesho Asubuhi
Hahaha sure mkuu, inafanya kazi kabisa !!nmeshuhudia watoto kadhaa wakiacha kabisa huu mchezo wa kujikojoleaDah...hizi tiba zingine sasa!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya ndevu za mahindi nilishawahi isikia... Jaribu hii sambamba na zoezi la keagel muscle ulilotajiwa..la kumtrain kucontrol flow..pia kumuamsha usiku saa tano, saba na tisa/kumi hapo."Ndevu za mahindi"
Chemsha hizo ndevu iwe kama chai
Bilauli moja asubuhi moja jioni (lets say saa mbili asubuhi na saa kumi na mbili jioni)
Inasaidia kukaza misuli ya "sphinta" .
Pia saa tano usiku jitahidi akojoe chooni, na saa tisa usiku.
Fanya hivyo kwa wiki mbili utaanza kuona mabadiliko, endelea hadi wiki sita.
Unaposema kwa mganga,hapo unakuwa ushamkufuru Allah tayariMLETE kwa mganga Huku Handeni Tanga...atapona kwa uwezo wa Allah
Unaposema kwa mganga,hapo unakuwa ushamkufuru Allah tayari