Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumiaje?Dawa nyepesi kabisa ya kuzuia mtoto au mtu mzima kukojoa kitandani ni maji yale ya kwanza ya kuoshea mchele wako
Kila siku mbaka atapopona kabisa. Ni dawa kiboko sana ya asili.
Dawa nyepesi kabisa ya kuzuia mtoto au mtu mzima kukojoa kitandani ni maji yale ya kwanza ya kuoshea mchele wako
Kila siku mbaka atapopona kabisa,
Ni dawa kiboko sana ya asili.
Una miaka mingap umri wakoDah Wadau mnanishtua, mimi pia nasumbuliwa na tatizo kama hilo. Baada yukumaliza kukojoa bado hua naendela kutokwa na maji maji
UTIhabari zenu wana jf.
Ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na mkojo baada ya kumaliza kukojoa huwa unatoka kama tone hivi... unatoka wakati wa kuvaa suruali
Tatizo hili linanitesa sana na limenianza baada ya kula kitunguu swaumu punje 6 kila siku kwa mwezi 1 kwa sabab nasumbulia na gas tumboni gesi ilipona ila nikapata tatizo hilo...
Nilienda hospital nikapewa dawa nikapona nikaja kuendelea na dozi ya vitunguu swaumu cose maradh ya gas yaliludi tena ugonjwa wa mkojo nao ikarudi tena... nilivyoenda hospital dawa hazikunisaidia tena...
Msaada wenu tatizo lishakuwa sugu
Umri wako tujue tuanzie wapiDah Wadau mnanishtua, mimi pia nasumbuliwa na tatizo kama hilo. Baada yukumaliza kukojoa bado hua naendela kutokwa na maji maji
Umri wako tujue tuanzie wapi
Una miaka mingap umri wako
Kweli mkuu tukijua umri wake itasaidia sana kumpa ushauriUmri wako tujue tuanzie wapi
Kwa umri wako huo sidhani kama itakua ni tezi dume japo nadra sana kwaumri huo mara nyingi umri kuanzia40 tezi inakua kwa haraka sana...mtu ndo unaweza anza ona dalili kama hizo zako