Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mkuu Gentamycine, sio busara kutoa jibu la namna hiyo. Hili ni tatizo la kiafya ambalo lipo katika jamii zetu, hatutakiwi kulifanyia mzaha bali ni kulitafutia ufumbuzi.Tafuta ule mpira wa maji mrefu na hakikisha kila siku usiku anapoenda kulala basi unauchukua na kumchomeka nao huyo Kijana katika Lidudu lake kisha ule mpira unaukunjua ili uwe mrefu na unauelekezea nje au bustanini kabisa ili usiku pale anapokuwa anajikojolea ule mkojo usipotee tu bure na badala yake moja kwa moja uende kumwagilia ama Maua ya hapo Kwenu au Shamba. Lichukulieni hilo tatizo lake kama Fursa kuelekea katika Kilimo biashara na hapo hata gharama ya kununua Mbolea ( Samadi ) mtakuwa mmeikoa.
Huwezi jua leo analo huyu jamaa, huenda kesho likakuanguakia wewe au mtu wako wa karibu na pia utataka ushauri kama huyu ndugu yetu. Ni vizuri ukamshauri japo kumuelekeza njia ilipo hospitali, hapo utakuwa utakuwa umefanya jambo la kiungwana.
ID yako inaonesha wewe ni mtu wa aina fulani ambayo pia ni ya kiheshima, lakini umenivunja moyo kwa ushauri ulioutoa.
Naomba uniwie radhi kama nimekukwaza.