Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Dawa nyepesi kabisa ya kuzuia mtoto au mtu mzima kukojoa kitandani ni maji yale ya kwanza ya kuoshea mchele wako
Kila siku mbaka atapopona kabisa. Ni dawa kiboko sana ya asili.
 
Dawa nyingine chukua ndevu za mahindi uchemshe kikombe kimoja cha chai angalau dakika tano then asubuhi na jioni.
Achemshe kikombe kila anapotaka kutumia hii dawa.
 
Huyo mtoto mbona bado mdogo ivo jamani, hapa home kuna mtoto 12 yrs bado anakojoa mara moja moja na hatuoni shida akikua ataacha.
 
Dawa nyepesi kabisa ya kuzuia mtoto au mtu mzima kukojoa kitandani ni maji yale ya kwanza ya kuoshea mchele wako
Kila siku mbaka atapopona kabisa,
Ni dawa kiboko sana ya asili.

Naunga mkono! niliijaribu dawa hii kwa mtoto wa ndugu yangu! ni kiboko! pia ajararibu kutafuna hata mchele wenyewe INAFANYA KAZI HII DAWA! inawezekana kuna chemical reaction kama Jose alivosema hapo juu! mjaribu na maji ya mchele
 
habari zenu wana jf.
Ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na mkojo baada ya kumaliza kukojoa huwa unatoka kama tone hivi... unatoka wakati wa kuvaa suruali

Tatizo hili linanitesa sana na limenianza baada ya kula kitunguu swaumu punje 6 kila siku kwa mwezi 1 kwa sabab nasumbulia na gas tumboni gesi ilipona ila nikapata tatizo hilo...

Nilienda hospital nikapewa dawa nikapona nikaja kuendelea na dozi ya vitunguu swaumu cose maradh ya gas yaliludi tena ugonjwa wa mkojo nao ikarudi tena... nilivyoenda hospital dawa hazikunisaidia tena...

Msaada wenu tatizo lishakuwa sugu
 
Kuna vitu vingi mkuu inaweza kua tezi dume ( sijajua umri wako) inaweza kua uti
Ushauri wangu kamuone mtaalamu daktari namaanisha huko itakua rahisi zaidi kujua sababu ya tatizo lako
 
Iyo Ni dalili ya tezi dume, au kansa ya tezi dume, nenda hospital kwa matibab na uchunguz wa izo shida.
 
Dah Wadau mnanishtua, mimi pia nasumbuliwa na tatizo kama hilo. Baada yukumaliza kukojoa bado hua naendela kutokwa na maji maji
 
habari zenu wana jf.
Ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na mkojo baada ya kumaliza kukojoa huwa unatoka kama tone hivi... unatoka wakati wa kuvaa suruali

Tatizo hili linanitesa sana na limenianza baada ya kula kitunguu swaumu punje 6 kila siku kwa mwezi 1 kwa sabab nasumbulia na gas tumboni gesi ilipona ila nikapata tatizo hilo...

Nilienda hospital nikapewa dawa nikapona nikaja kuendelea na dozi ya vitunguu swaumu cose maradh ya gas yaliludi tena ugonjwa wa mkojo nao ikarudi tena... nilivyoenda hospital dawa hazikunisaidia tena...

Msaada wenu tatizo lishakuwa sugu
UTI
 
Back
Top Bottom