Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Mkuu nikujibu kistaarabu ingawa umentusi!
Niseme tu kwamba una bahati na ukikojozi wa huyo kijana pia umri wake ulikuwa unaelekea kwenye balekhe ndiyo unajisifu kukomesha kwa kupiga.

Tatizo hilo linatokana na usingizi wa kitoto, akishaangusha kaangusha,haamki na si makusudi, anajistukia tu kaharibu.

Ipo siku utakutana na mtoto kikojozi masalia, utapiga uue lakini kojo lipo pale pale.
Ninadhani kupiga ni kama huduma ya kwanza, lakini si tiba kamili.
Kumbuka na kaka yake nae anakojoa vivyo hivyo baada ya kuongea na mama yake, ila mbona mdogo wake kaacha kukojoa, maana ame refer kuwa aliambiwa awape dawa, mbona mdogo wake baada ya kutumia mbinu nimemuweka sawa na hakojoe tena

Kukojoa ni mind set na inaweza tibika bila kutumia hizo dawa au mitishamba, mimi nakaa upande wa malezi nyie kaeni upande wa madawa na mitishamba, sio lazima tufanane mitazamo, mimi mtazamo wangu ni kwamba kila kitu ni training na mazoea
 
Mimi nimekoja kila siku kitandani hadi nikiwa f3.

Nimekojoa Mara moja moja hadi nikiwa f6.

Nilikojoa Mara 2 nikiwa chuo kikuu.

Haijarudia tena.

Nawashukuru wanafunzi wenzangu walionivumilia nilipoenda f5 bwenini, alikuwepo mmoja hadi alikuwa anaanika godoro langu watu wakiingia madarasani, namshukuru headmaster shule x, na mwalimu wa nidham kwa kunivumilia sana na kunipa moyo.

Sikutumia dawa yoyote isipokuwa kuzuia kunywa maji ifikapo saa11 jioni, kuoga asubuhi kila Siku, kuamshwa kila Mara kwenda kukojoa na nilikuwa najifanya nasoma hadi saa5 ili nilale nikiwa nimekojao.

Wanafunzi niliokuwa nao bweni X mbarikiwe sana. Neema ya mungu iwashukie na uzuri nyite mmeajiriwa serijalini, endeleeni na moyo huo wa kutunza siri, mlinisitiri sana.

Mlinitia moyo, na hakika mungu awajarie.
 
Hapendi Na ukimuuliza hata kwa upole anaonyesha kusononeka kabisa
Ndo uone sasa unapomchapa unakosea sana. Binafsi siwezi mpiga mwanangu kisa kakojoa kitandani. Hata sasa ninae pia ana miaka saba sometimes huwa anakojoa. Ila ikitokea hivyo huwa ni alikunywa juice au maji immediately akaenda kulala na hukumwamsha usiku.
Hivyo huyo mtoto ukijitolea ukawa unamwamsha usiku hata mara tatu baadae mwenyewe atakuwa anaamka na kwenda chooni kukojoa.
 
Mwanangu ana miaka 3 alianza tabia ya kujikojolea nilimzaba bakora za haja siku mbili. Hadi leo hii akitaka kojoa hata usiku wa manane utasikia anakuamsha. Pia mzoeshe kila saa 9 usiku muamshe akojowe.
 
Soma post zote utakutana na nilioelezea, hatu coment kama wewe u do for funny, namsaidia ili aamke amelala sasa, we ni mdogo sana huwezi elewa, so tulia, wengine humu ni watu wazima, nina comment navyotaka mimi ili imuelimishe na sio unavyotaka wewe na wengine, mimi ndiyo nampa ushauri mzuri, sio nyie na miti shamba, hiyo miti shamba inaenda kuziba mirija wakati wa usiku ili asikojoe ni mind set tu na imani yako, watoto hukua na tabia tokana na malezi ya wazazi... Garbage in garbage out
Mtoa mada akifwata ushauri wako huu atauwa mtoto.

Namna Wewe ndiye unayecomment for funny bro.

Unaweza kuwa mtu mzima lakini huwa watoto wa umri huo na wenye tatizo Kama hilo.

Nineishi na Kaka yangu mwenye Hilo tatizo,I know..usinichukulie poa kisa Nina umri mdogo.
 
Kumbuka na kaka yake nae anakojoa vivyo hivyo baada ya kuongea na mama yake, ila mbona mdogo wake kaacha kukojoa, maana ame refer kuwa aliambiwa awape dawa, mbona mdogo wake baada ya kutumia mbinu nimemuweka sawa na akojoe

Kukojoa ni mind set na inaweza tibika bila kutumia hizo dawa au mitishamba, mimi nakaa upande wa malezi nyie kaeni upande wa madawa na mitishamba, sio lazima tufanane mitazamo, mimi mtazamo wangu ni kwamba kila kitu ni training na mazoea
Upo sawa kabisa. Hili ni suala la kisaiokolojia. Haihitaji madawa yeyote ya kumeza.
 
Mimi nimekoja kila siku kitandani hadi nikiwa f3.

Nimekojoa Mara moja moja hadi nikiwa f6.

Nilikojoa Mara 2 nikiwa chuo kikuu.

Haijarudia tena.

Nawashukuru wanafunzi wenzangu walionivumilia nilipoenda f5 bwenini, alikuwepo mmoja hadi alikuwa anaanika godoro langu watu wakiingia madarasani, namshukuru headmaster shule x, na mwalimu wa nidham kwa kunivumilia sana na kunipa moyo.

Sikutumia dawa yoyote isipokuwa kuzuia kunywa maji ifikapo saa11 jioni, kuoga asubuhi kila Siku, kuamshwa kila Mara kwenda kukojoa na nilikuwa najifanya nasoma hadi saa5 ili nilale nikiwa nimekojao.

Wanafunzi niliokuwa nao bweni X mbarikiwe sana. Neema ya mungu iwashukie na uzuri nyite mmeajiriwa serijalini, endeleeni na moyo huo wa kutunza siri, mlinisitiri sana.

Mlinitia moyo, na hakika mungu awajarie.
Hongera kwa kuthubutu kuongea hili hadharani wengine wanaweza kujifunza pitia wewe, inaezekana bila mitishamba ni mind set tu, watu hawaelewi,

Kweli hili kuna watu hufikia wakubwa kabisa hujikojolea kama wewe mdau, lakini ungeweza tu hata kabla haijafika huko kwa kuthubutu na kuweka mipango thabiti kwa kushirikiana na wazazi
 
Mitishamba gani, haya mambo ni mind set tu, wewe una watoto? Yaliyokutokea ni yapi yanayokupa uzoefu
Comment yangu mbona imejieleza au hujaisoma vizuri?!
Nimekwambia nimesahau ni upi.
Na alipotumia alipona.. yawezekana alipona mwenyewe au hiyo dawa ilimsaidia.

Hili unalolisisitiza wewe la kuchapa siyo solutions.
Na Huyo mtoto unayeishi naye utakuja mpasua matako kwa kipigo na hatoacha.
 
Mwanangu ana miaka 3 alianza tabia ya kujikojolea nilimzaba bakora za haja siku mbili. Hadi leo hii akitaka kojoa hata usiku wa manane utasikia anakuamsha. Pia mzoeshe kila saa 9 usiku muamshe akojowe.
This work out indeed, vitu vingine inahitaji kuwa tough kidogo.. Malezi mimi ndiyo nimeweka la kwanza kwenye kilitibu hili, mengine hayo ya dawa, mitishamba siyapi sana nafasi.. Desperate itakufanya uende hadi kwa waganga
 
Comment yangu mbona imejieleza au hujaisoma vizuri?!
Nimekwambia nimesahau ni upi.
Na alipotumia alipona.. yawezekana alipona mwenyewe au hiyo dawa ilimsaidia.

Hili unalolisisitiza wewe la kuchapa siyo solutions.
Na Huyo mtoto unayeishi naye utakuja mpasua matako kwa kipigo na hatoacha.
Sijaweka kuchapa tu kama ndiyo dawa ila pia kuwa mpango mkakati, kila kitu kinawzekana kama ukitumia akili kilitatua... Malezi sio jambo la kwende kwa kubembeleza sana kuna wakati unatakiwa uwe tougher a little bit, it is helping, na pia kama mzazi jaribu talk to your kids, jifunze kutambua je kwa kwao ni njia zipi wanakuelewa zaidi kwenye mafunzo unayo wapatia
 
Hatumuhukumu, ndiyo tunamkumbusha kuvuta shuka asubuhi, mtoto akifikia hatua anakojoa mpaka miaka 10 kweli kuna kauzembe sana,
Si uzembe hata kidogo. Mimi nilikuwa na mtoto mwenye tatizo hilo hilo na nilipata msaada kwa wataalamu wa tiba. Kwa umri huo ni ugonjwa, si uzembe wa mzazi.
 
Kwani wewe kitandani hukojoi, mimi hukumbatwa kwa nguvu na kubembelezwa nikojoe... kisha hupewa asante na pole nyingi!
Mizaha ya kitoto hiyo. Mwenzio ana tatizo we unaleta mizaha ya hovyo!!!!! Kama huna msaada ni bora ukae pembeni kuliko kujaza server na upuuzi wako!!
 
Mtoa mada akifwata ushauri wako huu atauwa mtoto.

Namna Wewe ndiye unayecomment for funny bro.

Unaweza kuwa mtu mzima lakini huwa watoto wa umri huo na wenye tatizo Kama hilo.

Nineishi na Kaka yangu mwenye Hilo tatizo,I know..usinichukulie poa kisa Nina umri mdogo.
Ni hivi mimi ndiyo nampa ushauri utakao mjenga, kuua mtoto kivipi hawezi kuua mtoto hana akili mbovu hivyo ,

hivi hujakutana au kuona watoto wakorofi wewe? Unatakiwa uwe namna mtoto alivyo kama mtoto ni mtundu usimlee anavyotaka yeye ila badilika, sijakuchukulia kwa kuwa wewe ni mdogo maana soon nawe utakua na familia,

nakupa mbinu nzuri zitakazo wapa watoto wako malezi bora kabisa, mitishamba kitu gani? kwenye mitishamba haiwezi kutibu kutokukojoa ni uwongo,

mambo hayo yanahitaji kumjenga mtoto kutumia force kidogo na pia kumpa mipango, halafu mdogo wangu hatuwezi fanana mitazamo sawa! mimi mtazamo wangu ni huu, wewe mpe ushauri kutokana na mtazamo wako,
 
Sijaweka kuchapa tu kama ndiyo dawa ila pia kuwa mpango mkakati, kila kitu kinawzekana kama ukitumia akili kilitatua... Malezi sio jambo la kwende kwa kubembeleza sana kuna wakati unatakiwa uwe tougher a little bit, it is helping, na pia kama mzazi talk your kids jifunze kutoka kwao ni njia zipi wanakuelewa zaidi kwenye mafunzo unayo wapatia
Sawa
 
Ni hivi mimi ndiyo nampa ushauri utakao mjenga, kuua mtoto kivipi hawezi kuua mtoto hana akili mbovu hivyo ,

hivi hujakutana au kuona watoto wakorofi wewe? Unatakiwa uwe namna mtoto alivyo kama mtoto ni mtundu usimlee anavyotaka yeye ila badilika, sijakuchukulia kwa kuwa wewe ni mdogo maana soon nawe utakua na familia...
Kwahiyo ataendelea tu kumpiga hata kama haachi??
 
Yeye mwenyewe ni mtoto, sasa huyo mtoto amtowe wapi? Au mtoto ni nguo?
Si mtoto
Ni mtu mzima ila hana mtoto wa umri huo..pia ushauri wake sidhani kama utaleta msaada kwa mtoa mada.
 
1.kabla ya kulala aende kukojoa

2.ikifika jioni na kuendelea asinywe maji mengi au vitu vya maji maji mengi.

3. Usiku muamshe akakojoe.

4. Nenda hospital ukapewe dawa au kama unaweza kupata dawa inaitwa IMIPRAMINE kanunue atumie 25mg kila cku ucku kwa muda wa mwezi 1 kwanza
 
Hayajakukuta.
Una watoto wenye umri gani??
Umeshawahi kulea Mtoto anayekojoa??
Au umeamua tu kuchangia ili umponde mtoa mada!?!
Hajawahi kuwaona vikojozi, kwenye familia yetu (hadi watoto wa bro) mtoto akishaacha kunyonya na kukojoa kitandani kunaisha inabaki ile ya mara moja moja. Ila kuna mtoto wa dada yangu hadi ana miaka 12 bado analimwaga
 
Back
Top Bottom