Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Kumbuka na kaka yake nae anakojoa vivyo hivyo baada ya kuongea na mama yake, ila mbona mdogo wake kaacha kukojoa, maana ame refer kuwa aliambiwa awape dawa, mbona mdogo wake baada ya kutumia mbinu nimemuweka sawa na hakojoe tenaMkuu nikujibu kistaarabu ingawa umentusi!
Niseme tu kwamba una bahati na ukikojozi wa huyo kijana pia umri wake ulikuwa unaelekea kwenye balekhe ndiyo unajisifu kukomesha kwa kupiga.
Tatizo hilo linatokana na usingizi wa kitoto, akishaangusha kaangusha,haamki na si makusudi, anajistukia tu kaharibu.
Ipo siku utakutana na mtoto kikojozi masalia, utapiga uue lakini kojo lipo pale pale.
Ninadhani kupiga ni kama huduma ya kwanza, lakini si tiba kamili.
Kukojoa ni mind set na inaweza tibika bila kutumia hizo dawa au mitishamba, mimi nakaa upande wa malezi nyie kaeni upande wa madawa na mitishamba, sio lazima tufanane mitazamo, mimi mtazamo wangu ni kwamba kila kitu ni training na mazoea