Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Dadangu mpendwa ni vyema ukaenda kwa madaktari walosomea, epuka wamasai na waganga wa jadi.
 
Mkuu mzizi mkavu, usiwashangae hao wanaokushangaa manake na mie nilikuwa najiuliza kama ww ni mtaalamu wa alternative medicine... not that it is bad. thank for sharing. hujamalizia afu kongoro linalobakia lichemshwe na mama wa mtoto apige supu yake ikiwa na pilipili na ndimu za kutosha. hapo jestina na husninyo watakuamini
Haya bwana King'asti
 
Apate muda wa kulala mchana baada ya chakula maana bila kulala mchana usiku anakuwa na usingizi mkali unaomfanya kupitiwa. Jaribu ku set alarm ya cmu usiku ili aamshwe na kukojoa hii imesaidia wengi. Huko kijijini wanawafunga viunoni ngoz ya nyoka ambayo ni kavu kabla ya kupanda kitanda. Usiku hushituka na hapo kwenda kukojoa.
 
Jamani nahitaji msaada kwa anayefahamu dawa ya kuzuia kukojoa kitandani. Mwanangu amepitiliza sasa, ana umri wa miaka nane yeye hata akilala mchana, usingizi ukikolea tu anamwa kojo la uhakika. mdogo wake miaka 2 ameshaacha. Naomba msaada tafadhali
 
Mpeleke kwenye maombi. Utacheka sana ninapokwambia hivi lakini take it serious. Ataacha.
 
Maombi na pia waone wataalamu wa urology pengine wanaweza kuona some disorders in the urinary tract. Hakuna lisilowezekana, usikate tamaa!
 
Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe weka moto ndani yake kisha alinuse kisha huko huko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
 
Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe weka moto ndani yake kisha alinuse kisha huko huko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
Kila member wanapokuja na shida hii unawashahuri hivi. Mwanzo nilijua ni utani wako tu, sasa nimeanza kujiuliza: are you serious? anaponaje sasa? Ritual hiyo inahusika vipi na kukojoa kitandani? Naomba mwangaza please.
 
Kama nakumbuka vizuri hiyo kwato ya ng'ombe huwa inachomwa ili iwe na harufu fulani hivi.
Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe weka moto ndani yake kisha alinuse kisha huko huko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
 
Kila member wanapokuja na shida hii unawashahuri hivi. Mwanzo nilijua ni utani wako tu, sasa nimeanza kujiuliza: are you serious? anaponaje sasa? Ritual hiyo inahusika vipi na kukojoa kitandani? Naomba mwangaza please.
Kupona kwake anakuwa hakojoi tena kitandani. Mimi ninapo mpa Mtu Ushauri wa kutumia Dawa nina uhakika akifuata ushauri wangu atapona kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu sibahatishi nipo Serious, hili ni jukwaa la kusaidiana sio kufanyiana mambo ya mchezo au masihara watu wengine wanapoteza muda wao kufanya mchezo mimi ninapomjibu mtu kumpa ushauri wa kutumia dawa yangu huwa sina mambo ya mchezo.
 
Mficha uchi hazai! Usione haya hilo tayari ni tatizo unalo nenda hospital kawaone wataalamu utapewa dawa na utapona
 
Pole sana mpendwa kwa mateso haya, elewa tu wewe si wa kwanza, kwa tatizo hili. tatizo hili solution yake ipo sana usihofu! yaweza kuwa dawa, ushauri (kama wa wachangiaji waliotangulia hapo juu endapo ukiufanyia kazi), lishe na imani.

Je, tatizo hili linakupata usiku tu, au hata mchana unapolala usingizi unakojoa pia? kama hujawahi kukojoa kitandani mchana ila usiku tu, basi tatizolako nilakiroho zaidi. yaani sawa mtu yule mwenye tatizo la kufanyishwa mapenzi usingizini anapoamka akajikuta ameloa uchafu ukeni na hata matandiko kuchafuka. Kwa shuhuda za waliowengi jambo hili huwatokea usiku usingizini na hushuhudia picha yote katika ndoto wakifanya tendo la ngono na mtu fulani mweupe! hii ni roho kamili na tiba yake niya kiroho pia, si ya hospitali.

Kama hata mchana unakojoa ili mradi tu usingizi umekolea basi muhimu umuone daktari kwa ushauri maana bila shaka pana shida ya mawasiliano baina ya ubongo husika na sfinkta za kibofu cha mkojo uwapo usingizini, kama si tatizo la kurithi. Nashauri fanya yafuatayo;

1. Tumia Vitamin B-12 kwa wingi, kisha angalia mabadiriko (zingatia maelekezo ya matumizi yake. waweza kurudia dozi mara kwa mara.

2. Tumia Green Tea ya mlonge kiwe kinywaji chako kutwa (asubuhi, mchana na jioni - mwisho saa 11 jioni) kwa mwezi kisha angalia mabadiriko

3. Punguza sana kufanya mapenzi na fanya zoezi la kubana mkojo kama ulivyoshauriwa na mchangiaji, kisha lala mapema.

4. Kwa tatizo la kiroho, tiba ni maombi katika Kanisa lolote la Walokole mahali ambapo matendo ya ishara na miujiza vinafanyika. Utaenda siku hiyo na utapona dakika hiyo ya maombi, shuhuda zipo ila uamini kwamba Yesu anaweza kukuponya.
 
Ni kitu gani kinachosababisha mtu mzima kuwa kikojozi, na nn tiba yake
 
Naona watu wazima wanaokojoa vitandani wengi uwa wanaombewa na kupona. Mara nyingi nimeona kupitia Emmanuel Tv kwa T.B Joshua. Sijui kama ni tatizo la kimwili pia. Wataalam watatolea ufafanuzi.
 
Kwa mtu mzima kukojoa (Bed Wetting), ni tatizo la kisaikolojia na ni moja ya magonjwa ya akili. Mpeleke hospitali yenye uwezo wa kutibu magonjwa ya akili (hasa district or regional hospital).
Wengi wametibiwa na wamepona.
 
Inawezekana huyo mtu ni mlevi sana kwa hiyo anajisahau nak kushindwa kunyanyuka kitandani. Pia wengine huanzia utotoni wanamwaga kojo kitandani hadi ukubwani.

Wengine huoata ndoto za mawenge na hivyo kujikuta wanamwaga kojo la kutosha kitandani. Suluhisho la hili tatizo ni yule aliyemwaga kojo kitandani ni kubebeshwa godoro lake na kupitishwa mitaani huku akiimbia nyimbo, akitoka hapo hamwagi tena kojo kitandani.
 
Back
Top Bottom