Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Habari bandugu. Naomba msaada au ushauri, nina mtoto wa kaka yangu mwenye umri wa miaka 22 yeye amekuwa na tatizo la kujikojolea kitandani nyakati za usiku.

Tatizo hili analo kwa muda mrefu na wazazi wameliangaliakia kwa muda bila ya kupata ufymbuzi.

Wazazi walifanya siri muda wote ila ndugu tumekuja kuligundua mwezi uliopita baada ya kuletwa barua ya kutaka kumuo binti huyu kikojozi.

Hapo ndipo wazazi walipoona kabla hawajajibu chochote ndugu tukae chini tujue nini kifanyike, maana mume mtarajiwa hajui tatizo la mchumba wake.

Tafadhali naombeni msaada kwa hili.
 
Poleni sana, kuchelewa kwao bila kumsaidia mapema ni kazi sana as msije kurupuka kufanya mengi bila mpangilio na mwishowe isisaidie.

Sasa kuna link(s) zilizopita hizi hapa chini labda zitakusaidia usome uone wadau walishauri nini

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/94485-mtu-mzima-kukojoa-kitandani.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/114759-mtoto-kukojoa-kitandani.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/194956-binti-yangu-anakojoa-kitandani.html#post2856294

Embu zisome hizo uzi kwa makini nauakika utapata kujaribu ushauri umo. Nimesema kwa makini as labda unaweza ruka post moja na ndio ikawa inachakukusaidia.
 
Makini; tafuta kuku wa kienyeji co chotara! awe tetea mchinje kisha safisha utumbo wake vizuri, chemsha supu usiweke viungo ila tia chumvi kidogo. Mpe mgonjwa anywe na tatizo lake litakwisha mara moja. Usidharau!
 
Lol! Best KING'ASTI 🙂🙂 hizo dawa za Dr MziziMkavu....Ngoja apitie nyuzi alizowekewa na mzurimie labda anaweza kupata tiba ambayo inaweza kumsaidi binti. Muanzisha uzi usiweke details nyingi za binti vinginevyo ndoa yake tarajiwa inaweza kuota magugu maana si ajabu mume mtarajiwa au baadhi ya upande wake huingia hapa pia.

Ushauri wangu ni kama ufuatavyo, binti aache kabisa kunywa vitu vya maji maji kuanzia saa 12 jioni au kama ikibidi anywe basi anywe kidogo sana pia atumie alarm clock ambayo itakuwa inamuamsha mara mbili kila usiku 15 to 20 minutes kabla ya muda wake wa kukojoa kitandani. Inasemekana vikojozi mara nyingi wanakojoa wakati ule ule kukiwa na tofauti ya dakika chache. Kama mtaamua kufanya hili basi asiidharau kabisa hiyo alarm kila inapofanya vitu vyake ni lazima aamke akajisaidie badala ya kuizima na kuendelea kuchapa usingizi. Kila la heri.

Ngoja aje dr BAK hapa ndo utakoma. Atasema ukaange nundu ya simba afu uile na supu ya kakakuona.
 
Ngoja aje dr BAK hapa ndo utakoma. Atasema ukaange nundu ya simba afu uile na supu ya kakakuona.

Hahaha King'asti , You real have good sense of humor!
Personally i dont really know the source and cure of 'Nocturnal Churesis'
Najuaga kama ni mtoto anaponaga akikua mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Tiba ziko nyingi ila me nakupa psychological healing ambayo ni very militant na inayoendana na sadism (ya kikatili)

Fanya hivi mfururizo kwa siku saba au majuma mawili. Kila anapotaka kulala mlazimishe akojoe kitandani anapolala, akojoe mwenyewe wala siyo kumwaga mkojo kitandani. Kisha alale kwenye hiyo mikojo hadi asubuhi (kumbuka kutomwonea huruma). Hii ni tiba kwani inaingia kwenye subconscious yake na kumjengea "maumivu yenye chuki".

Ukifanya hivyo nipe ripoti baadaye!
 
Mtoto gani mkubwa hivyo huyo mnunulieni simu ya kichina kulaleki arafu mtegesheeni Alarm tatu kwa usiku mmoja kila siku ili mumjengee tabia ya kuamka mwenyewe maana inaonesha anatatizo la misuli ya kwenye kibofu chake.
 
Tiba ziko nyingi ila me nakupa psychological healing ambayo ni very militant na inayoendana na sadism (ya kikatili)

Fanya hivi mfururizo kwa siku saba au majuma mawili. Kila anapotaka kulala mlazimishe akojoe kitandani anapolala, akojoe mwenyewe wala siyo kumwaga mkojo kitandani. Kisha alale kwenye hiyo mikojo hadi asubuhi (kumbuka kutomwonea huruma). Hii ni tiba kwani inaingia kwenye subconscious yake na kumjengea "maumivu yenye chuki".

Ukifanya hivyo nipe ripoti baadaye!

Asante ndugu nitafanya hivyo
 
Mabwana na mabibi huyo bila shaka ana kisukari au marwdhi ya kibofu cha mkojo cha maana ni kuonana na doctor haraka sana...
 
Ndugu wana JF,

Naomba mnijuze dawa ya kuacha kukojoa kitandani kwa binti wa miaka 10. kusema kweli imekuwa kero na aibu tafadhalini nisaidieni.
 
ndugu wana jf naomba mnijuze dawa ya kuacha kukojoa kitandani kwa binti wa miaka 10. Kusema kweli imekuwa kero na aibu tafadhalini nisaidieni.
afadhali huyo wa miaka kumi mimi kuna mtoto wa ndugu yangu ana 18! Alikuja kutusaidia na hatukiingianchumbani kwake kwa siku 7 jumamos tulikuta chumba kimeoza ! Inasikitisha sana please wadau leteni tiba coz naona kabisa future ya yule binti inaharibika!
 
1.Chukua majani ya muarobaini yaliyokomaa vema mabichi kwa kipimo cha 250gram+50grams ya mizizi ya mpapai dume,weka maji lita 2,chemsha mpaka ibaki nusu lita.Anywe kikombe kidogo cha chai kila anapotaka kulala kwa muda wa mwezi mmoja,kisha njoo ulete ushuhuda wako.

2.Kuna dawa nyingine ni miti fulani hivi nimeisahau jina,ngoja kuna mtu ntamuulizia kisha pia ntaiweka hapa.
 
DIABETES INSIPIDUS:Ni ugonjwa unaosababishwa na muongezeko wa mkojo ulochujuka(lita kadhaa kwa siku) ambao husababisha kupatwa na kiu kilichopindukia. Ugonjwa huu umegawanyika katika makundi mawili

Nevrogenic diabetes insipidus inatokana na kupungukiwa na antidiuretic hormone(ADH) ambayo huzalishwa/tengenezwa katika ubongo.The main function of the ADH hormone is to maintain the liquid amount in the body by regulating the amount of liquid eliminated from the body.
Ugonjwa huu unaweza kurithiwa.

Nephrogenic diabetes insipidus:Unakuwa na ADH homoni ya kutosha ila mafigo hayareacti ya hio homoni kwahio there wont be regulation of liquid as normal.

Utajuaje kama una ugonjwa huu
Daktari wa mafigo anaweza kufanya vipimo vya mkojo wako ili kuchunguza kama una production ya mkojo ya kawaida.

Dalili za ugonjwa huu:
1.Kuwa na kiu cha kupindukia ambacho kinasababisha ongezeko la kunywa maji/vinywaji ambayo hupelekea kuongezeka kwa hitaji la kupata haja ndogo

Jinsi ya kutibu
1.Kuepuka kunywa maji kabla kulala
2.Kuna dawa inaitwa DESMOPRESSIN ambayo ina hio ADH homoni ili kufidia mapungukio ya hio homoni.
NB:ukishapata mapungufu ya hii ADH homoni utakuwa ni mtegemezi wa dawa maisha.
 
Dawa ya Kumtibu Mtoto kukojowa Kitandani Vifaa vyake upate hivi:

Upate Kwato La N'gombe tiya ndani yake Kaa La Moto kisha yule mgonjwa wa kukojowa Kitandani alinuse lile kwato la

N'gombe lilio na Kaa la Moto ndani yake, kisha Avue nguo zake awe uchi Apande juu ya mti kisha juu ya huo mti akojoe

mkojo ushuke chini akisha maliza kukojoa juu ya mti ashuke chini, afanye hiyo Dawa kwa Muda wa siku 7 kila siku Asubuhi mapema sana atapona kabisa.

Mkuu.@
LEE VAN CLEEF TTTumia hii dawa kisha uje hapa unipe Feedback
 
Back
Top Bottom