mara moja kwa mwezi mkuuPombe unagida??
Nina miaka 35, sipati maumivu yoyote yale!ni kwamba tu naenda mara kwa mara kukojoa nyakati za usikuUna umri gani!?
Unapata maumivu wakati wa kukojoa...
Ukapime SUKARI HARAKAWakuu salamaa,
Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!
je ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu?
Muwe na asbh njema.
Nipo dsm mkuu na joto letu hili lakini bado napata hilo tatizo na pia nakunywa maji ya moto tu ie sio ya baridiInategemea uko mkoa gani,glass moja ya maji ukinywa mikoa yenye baridi lazima ukojoe sana usiku,au hata kama ukilala chumba chenya ubaridi mkali hiyo bado ni kawaida...
poapoa!nitalifanyia kazi hiliUkapime SUKARI HARAKA
asante sana Dr.Ili usipate shida ya kukojoa usiku inashauriwa kunywa maji mwisho saa 12 jioni au saa 1 usiku. Usinywe zaidi ya hapo. Ila hakikisha umepata pia maji ya kutosha during the day.
Kapimwenina miaka 35, sipati maumivu yoyote yale!ni kwamba tu naenda mara kwa mara kukojoa nyakati za usiku