Tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku

Tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku

Oldmantz

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
704
Reaction score
1,457
Wakuu salamaa,

Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!

Je, ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu?

Muwe na asubuhi njema.
 
Dalili ya kisukari HIYOO kapime mkuu smukarinina dalili kuu tati WWW WATER kiu wetting the bed nada Wekaness
 
Inategemea uko mkoa gani,glass moja ya maji ukinywa mikoa yenye baridi lazima ukojoe sana usiku,au hata kama ukilala chumba chenya ubaridi mkali hiyo bado ni kawaida...
 
Upo mkoa gani? Kama upo mikoa yenye baridi na jotoridi chini ya 29 basi ni hali ya kawaida. Lakini, kama upo mikoa yenye joto kama Moshi, Dar na Morogoro hiyo ni wake up call fika hospitali.
 
Wakuu salamaa,
Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!

je ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu?

Muwe na asbh njema.
Ukapime SUKARI HARAKA
 
Inategemea uko mkoa gani,glass moja ya maji ukinywa mikoa yenye baridi lazima ukojoe sana usiku,au hata kama ukilala chumba chenya ubaridi mkali hiyo bado ni kawaida...
Nipo dsm mkuu na joto letu hili lakini bado napata hilo tatizo na pia nakunywa maji ya moto tu ie sio ya baridi
 
Ili usipate shida ya kukojoa usiku inashauriwa kunywa maji mwisho saa 12 jioni au saa 1 usiku. Usinywe zaidi ya hapo. Ila hakikisha umepata pia maji ya kutosha during the day.
 
Back
Top Bottom