Nashauri tusiweke utani sana kwenye Afya.
1. Kama upo zaidi ya miaka 35 inawezekana tezi dume yako imeanza kuvimba na kuzuia njia ya kukojoa . wataalamu wanaita enlargement prostate . Lakini kama upo miaka zaidi ya 40 unatakiwa kwenda kwa wataalamu (a) Kuhakikisha hauna dalili za tezi dume (b) Kuhakikisha hauna mawe ya calcium kwenye kibofu cha mkojo. Kama tatizo ni la kukua kwa tezi dume
2. Kama tatizo ni kukuwa kwa tezi dume na hakuna dalili za cancer zozote watakuwa dawa ya 0.4 kidonge kimoja kwa siku hii itasaidia ku relax misuli ya mkojo ili isibane.
"Tamsulosin is used in men to treat the symptoms of an enlarged prostate (benign prostatic hyperplasia or BPH) which include difficulty urinating (hesitation, dribbling, weak stream, and incomplete bladder emptying), painful urination, and urinary frequency and urgency "
3. Kama tatizo bado ni kukuwa kwa tezi dume na dawa haisaidii sana kuna surgery ndogo ya kupanua njia.
Ushauri mwingine pamoja ya yote hayo ni kupunguza sukari kwenye mwili maana sukari inaongeza uvimbe kwenye mwili. Kwa kuanzia tu fanya hivi. Hakikisha kila siku unajipa masaa 15-16 bila kula chochote ambacho mwili inabidi ufanye kazi. Yaani ukila mfano saa moja usiku usile tena mpaka saa tano kesho yake. Unaweza kunywa maji, chai au kahawa bila sukari lakkini usile chochote ambacho mwili inabidi ufanya kazi. Hii inasaidia kupunguza kupanda kwa sukari na kutengenezwa kwa cells mpya za mwili.
Lakini tatizo la kuamka usiku kaliangalie mapema. Wataalaku wa haya matatizo wanaitwa "urologist "kama yupo Tanzania mtafute huyu mtaalamu specialist