Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

mmmh, kweli ukame umekithiri hadi kwenye papuchi chemchemi zinakata! pole sana mvua itanyesha tu hata kama ni baada ya miezi 6 kwa kuwa 3 tayari imeshakatika bila mvua.
 
MWANAMKE KUKOSA HEDHI KUNAWEZA KUAMBATANA NA MAMBO YAFUATAYO:-
• Matiti kutoa maziwa wakati mwanamke si mjamzito na wala hanyonyeshi, msomaji kama unaona matiti yako au ya mwenzi wako yanatoa maziwa wakati wewe au huyo mwenzi wako si mjamzito na hunyonyeshi tambua kuwa kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi na ni kiashiria cha kukokosa hedhi hivyo hatua za mapema zinapaswa kuchukuliwa.
• Mwanamke kuwa na nywele na vinyweleo vingi mwilini na kuota ndevu kama mwanaume hali inayoashiria kuwepo kwa wingi kwa homoni za kiume za androgen. Nitoe tahadhari hapa si kila mwenye vinyweleo vingi na ana ndevu basi anakosa hedhi si kweli lakini kama una dalili hizo na unakosa hedhi yako ya kila mwezi ni vema ukawaona matabibu mapema kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na matibabu.
• Ukavu katika uke, kutoka jasho sana wakati wa usiku, au mabadiliko katika kupata usingizi vinaweza kuashiria matatizo katika ovary. Kama nilivyowaeleza katika Makala yaliyopita ikiwa kuna hitilafu katika ovary ni vigumu kwa mwanamke kupata hedhi na kushika ujauzito hivyo ni vema ukawaona matabibu.
• Kuongezeka uzito kupita kiasi au kupungua kwa uzito isivyo kawaida. Hii ni moja ya sababu kubwa au kiashirii kikubwa cha mwanamke husika ana matatizo katika mfumo wake wa hedhi.
Msomaji ni vema ukajua kuwa tatizo hili la hedhi kukoma haliwezi kukondoka lenyewe bila kufanya jitihada za matibabu ili uboreshe afya yako ya uzazi na uwe na uhakika wa kuwa na afya bora ya uzazi.

0658521921 /0624073681
 
Haya ndioy mada yenye akili. Siyo wamama kushnda insta na whasapp wakisogoa bila kutafuta maarifa.
 
Minapata some times damu inakua nying tena kwa kasi na kipenfele cha pili cha tatu na cha nne vinagusa
 
Ivi inaezakua tatizo nini kwa binti kukosa hedhi kwa mda wa miezi mitatu Na wakati hana ujauzito Na hana ugonjwa wowote
 
Hiyo itakuwa ni Amenorrhea(Absence of menstruction)""
Inabidi uende kwenye vituo vya afya upewe maelekezo mkuu
 
Back
Top Bottom