kinda la baba
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 117
- 125
Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu ananesa kichwa then anakaa sawa. tangu tatizo lianze lina mwezi mmoja mpaka sasa.Je shida inaweza kuwa Nini ? Au ni mabadiliko tu ya mtoto then anakaa sawa?