Tatizo la kunesa kichwa kwa mtoto wa mwaka mmoja

kinda la baba

Senior Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
117
Reaction score
125
Habari za asubuh wakuu, kama kichwa cha habari kina vyojieleza hapo juu.mimi ni BABA wa mtoto mmoja wa kike wa mwaka mmoja, mtoto amekuwa na tatizo la kunesa kichwa anapoangalia kitu kwa mara ya kwanza mfano akiangalia TV at the first look ananesa kichwa then anakaa sawa au akiangalia mtu,kitu ananesa kichwa then anakaa sawa. tangu tatizo lianze lina mwezi mmoja mpaka sasa.Je shida inaweza kuwa Nini ? Au ni mabadiliko tu ya mtoto then anakaa sawa?
 
Je alizaliwa na complication zozote?
 
Fuatilia kama aliwahi kuangushwa ama kulaliwa asije akawa amepata brain trauma ama skull concussion.. Wahi hospital akafanyiwe vipimo
 
Maelezo bado hayajajitosheleza au Kuna uwezekano lugha uliyotumia wengi hatujaielewa..

Kunesa kichwa As In how?, ananesaje yaani anatingishaje kichwa anatetemeka kichwa?
Akitetemeka anang'ata meno? Anazimia?
 
Hapana anga'ti meno wala kuzimia au kutetemeka yaani anatikisa kichwa kama vile anaitikia jambo kwa ishara ya kichwa
 
Fuatilia kama aliwahi kuangushwa ama kulaliwa asije akawa amepata brain trauma ama skull concussion.. Wahi hospital akafanyiwe vipimo
Ni kweli kuna siku alianguka kutoka kitandani mpaka chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…